Bei za madini ya vito hapa tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bei za madini ya vito hapa tanzania

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by JIWE2, Jun 12, 2011.

 1. J

  JIWE2 Senior Member

  #1
  Jun 12, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 123
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Naomba msaada wa taarifa kwa anayejua bei za madini yafuatayo ya vito kwenye soko la hapa nchini tanzania. Nahitaji bei za Emarald, Blue sapphire, green tourmaline, Aguamarine, Zircon, Red garnet, Green garnet, Black tourmaline, Amethyst na Rhodolite.
   
 2. Kifuniko

  Kifuniko Member

  #2
  Jun 13, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 99
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Inategemea ni vito aina gani unaongelea, ungetaja aina ili tuweze kukusaidia bei
   
 3. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #3
  Jun 13, 2011
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Dhahabu kuna ambayo haijasafishwa na ambayo imesafishwa...zinauzwa kwa tora tengemeana na upande uliko...pande za tarime,geita,kahama (Tulawaka....).....sema wataka dhahabu ya wapi!!
   
 4. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #4
  Jun 13, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  mkuu dhahabu haiko kwenye kundi la vito vito ni madini yote yanayochimbwa na kuuzwa direct bila kuyaprocess kama almasi tanzanite tomaring na jamii za hayo.samahani ni kuelimishana tu na siyo kusutana.
   
 5. J

  JIWE2 Senior Member

  #5
  Jun 13, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 123
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nahitaji bei za Emarald, Blue sapphire, green tourmaline, Aguamarine, Zircon, Red garnet, Green garnet, Black tourmaline, Amethyst na Rhodolite.
   
 6. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #6
  May 4, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Haya haya Wana JF,

  Kuna mtu anaweza kunipa bei ya dhahabu ilivyo kwa sasa hapo Mwanza au sehemu za karibu na machimbo?

  Hiki kipimo TORA ndiyo kinaitwaje kwa Kiingereza na uzito wake kwa grams ukoje?

  Vipi masharti ya Export yakoje? Au kibali cha biashara ya dhahabu kwa ujumla ukoje?
  Buswelu na wengine saidieni maana kuna mshikaji alikuwa ameniulizia na mie sina mwanga.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. e

  emma thomas New Member

  #7
  Jan 25, 2014
  Joined: Jan 21, 2014
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hellow
  napenda kujua bei va madini haya
  blue saffier
  green tomarin
  red gainet
  road lite
  vovyote ilivyo naomba kufaham bei either safi au haijasafishwa bei zake kwa hapa tanzania ni kiasi gani?
   
 8. SIERA

  SIERA JF-Expert Member

  #8
  Jan 25, 2014
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,232
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  inategemea na quality kuna za kilo kuna za gram sasa sijui unaulizia kivipi
   
 9. M

  Masuke JF-Expert Member

  #9
  Jan 25, 2014
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Kuna mtu mmoja anaitwa WABHEJASANA anaweza kuwa na mchango kwenye hii thread.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...