๐๐๐ญ๐๐๐ฎ๐ญ๐ ๐๐จ๐ฅ๐ญ ๐จ๐ง๐ฅ๐ข๐ง๐Habar zenu. Naomba namba ya simu ya mtu anaefahamu jinsi ya kujisajili kwenye huduma ya bolt. Au dereva ambaye tayar ana account ya bolt au uber
Nimejaribu hii ni wiki ya tatu imeshindikana. Ndio maana nimekuja hapa kuomba msaada๐๐๐ญ๐๐๐ฎ๐ญ๐ ๐๐จ๐ฅ๐ญ ๐จ๐ง๐ฅ๐ข๐ง๐
Kijana Acha kujilegeza, hapo ukute Ni graduate kabisaHabar zenu. Naomba namba ya simu ya mtu anaefahamu jinsi ya kujisajili kwenye huduma ya bolt. Au dereva ambaye tayar ana account ya bolt au uber
Nasikia ofc za bolt zipo maeneo ya Morocco why can't u go ukaonane na wahusika? Google can help you!Nimejaribu hii ni wiki ya tatu imeshindikana. Ndio maana nimekuja hapa kuomba msaada
Asante...nitafanya hvyoNasikia ofc za bolt zipo maeneo ya Morocco why can't u go ukaonane na wahusika? Google can help you!
nenda paly store kaka.andika bolt then uta instaall kisha jiunge kama kwenye blog yoyote ya kijamii.....insta..wasap na kadhalika fanya hvyoHabar zenu. Naomba namba ya simu ya mtu anaefahamu jinsi ya kujisajili kwenye huduma ya bolt. Au dereva ambaye tayar ana account ya bolt au uber
Asante sana...umemaliza kaz kabisa
Haya lkn nigongee like zangu basi....Asante sana...umemaliza kaz kabisa
Sawanicheki pm
Mbona kama sio suala very personal unless otherwise, ushauri wangu ungeweka tu hapa kwa manufaa ya wengine wahitaji. Thats how we live hapa JF.nicheki pm