Kati ya kufanya biashara kwanza Kabla ya kuoa au kuoa kwanza Kabla ya kufanya biashara?

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Jambo ndugu zangu Kuna jambo ambalo linanitatiza Saana.

Mimi katika maisha yangu Nina ndoto ya kufunguwa restaurant nyingi katika Bara la Africa iyo ni ndoto yangu
But Kuna jambo ambalo linanitatiza Saana.

Nataka kufanya biashara lakini uku Chini Mwili wangu una itaji kuoa.

Sasa vijana wenzangu

Kipi Bora? Kati ya kufanya biashara kwanza Kabla ya kuoa au kuoa kwanza Kabla ya kufanya biashara ?
 
Jambo ndugu zangu Kuna jambo ambalo linanitatiza Saana

But Kuna jambo ambalo linanitatiza Saana
Nataka kufanya biashara lakini uku Chini Mwili wangu una itaji kuoa

Kama ningelikuwa mimi ningefanya hvi :-

Kwanza ningezingatia zaidi umri wangu nilionao
kama nipo below 30 basi napambana tu maisha lakini kama nipo above 30 nitaowa kwanza , bcoz nahitaji kuanza kupata watt na sio kwa njia ya zinaa bali njia sahihi kisheria ,
Pia ningezingatia sana ninayetaka kumuowa je ni mtu wa aina gani
maana unaambiwa kosea vyote lakini usikosee Kuowa , unaweza kuwa na Mke lakn yy hapendi maendele yako kabisaa kila siku kwa waganga ili pesa zote umpee yy ,
Pia kwa ndoto kubwa kama hyo naanz kuangalia starting yangu bcoz unajuwa kufanikiwa ni kugumu sana ,
mm nitaangalia kama kama tayari nilishaanza biashara ya mgahawa na tayari nalifahamu vyema soko basi nitaowa
lakini kama ndio kwanza Nina ndoto hata implementation sikuanza kabisaaa ,
haki ya mama naachana na kuowa
kwanza mapenzi yananoga ukiwa na pesa
 
Kwanza mapenzi yananoga ukiwa na pesa
 
Jambo ndugu zangu Kuna jambo ambalo linanitatiza Saana
Mimi katika maisha yangu Nina ndoto ya kufunguwa restaurant nyingi katika Bara la Africa iyo ni ndoto yangu
But Kuna jambo ambalo linanitatiza Saana
Nataka kufanya biashara lakini uku Chini Mwili wangu una itaji kuoa

Sasa vijana wenzangu

Kipi Bora? Kati ya kufanya biashara kwanza Kabla ya kuoa au kuoa kwanza Kabla ya kufanya biashara ?
Kwanza unataka kuoa ili iweje?
Tuanzie hapa kwanza
 
Jambo ndugu zangu Kuna jambo ambalo linanitatiza Saana.

Mimi katika maisha yangu Nina ndoto ya kufunguwa restaurant nyingi katika Bara la Africa iyo ni ndoto yangu
But Kuna jambo ambalo linanitatiza Saana.

Nataka kufanya biashara lakini uku Chini Mwili wangu una itaji kuoa.

Sasa vijana wenzangu

Kipi Bora? Kati ya kufanya biashara kwanza Kabla ya kuoa au kuoa kwanza Kabla ya kufanya biashara ?
Oa wewe ndoa tamu.
 
Back
Top Bottom