king herode
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 370
- 579
Wajumbe za muda huu aicee.
Kuna motherboard circuit (PCB) module fulani hv nataka kuinunua kutoka ebay ila sasa hawatumi tanzania nimetafuta courier na transporting agency nimekosa naomba mnisaidie kwa hili wakuu