Naomba msaada juu ya Vifaa Muhimu na Garama zake kwenye Ununuzi kwa ajili ya kufungua kituo cha kuoshea Magari

emavalery

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
628
1,237
Habari ya leo JF Members,

Naomba msaada juu ya Vifaa Muhimu na Garama zake kwenye Ununuzi kwa ajili ya kufungua kituo cha kuoshea Magari.

Eneo nitatafuta, natumaini ntapata msaada wenu wadau wa maendeleo.

Asanteni.
 
Back
Top Bottom