Nahitaji mtu mwenye mashine (mitambo) ya kuchimbia madini tufanye Partnership ya Uchimbaji

Wolle Melkas Fernando

JF-Expert Member
May 4, 2016
218
297
Ndugu Wana JF, ni muhimu kushirikishana fursa na kushirikiana.

Nina kitalu/Ploti yenye madini aina ya Ruby nyekundu/damu ya mzee inayong'aa.

Eneo liko full madini haya ya Ruby ingawa hata dhahabu nayo hupatikana kidogo, maana hata kuchimba kwa mikono (kutumia sururu, nyundo na majembe) madini yapo yanapatikana.

Nina leseni na vibali vyote vya serikali vya Uchimbaji.

Kama una mtu naomba kuunganishwa nae, au kama ni wewe muhusika tuwasiliane Moja kwa moja.
View attachment 1971626View attachment 1971627
 
Back
Top Bottom