Failures are blessings

Failures are blessings

malinyi

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2017
Posts
223
Reaction score
323
Ni ngumu kuelewa ninachomaanisha.Hebu ngoja nikupe mfano ndogo tu.
Suppose kulimo cha mpunga kingekuwa kinalipa bila loss maana yake aliyeinvest eka 1 mwaka hii mwakani ataweza kulima let say eka 4 after 20 years atakuwa anaweza kulima eka zaidi ya 20 000.
Je unadhani wewe beginner ungepata ardhi ya kulima mpunga?
Lakini kwa sababu biashara ina profit na loss inatoa chance kwa baadhi ya watu kuachana na kulima mpunga ndipo wewe unaweza kupata land.
Mifano ipo mingo.


Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom