Nawezaje kununua hisa za makampuni nje ya nchi?

Nawezaje kununua hisa za makampuni nje ya nchi?

Stylz

Member
Joined
Oct 10, 2016
Posts
17
Reaction score
18
As tunaangaika kutafuta njia mbalimbali za kuinvest na kusaka kipato, nimekuwa interested na swala zima la stocks trading. Nimejaribu kufatilia sana lakini bado sijapata jibu la kuniridhisha, namna gani naweza kununua hisa za makampuni kama Apple, Nokia,etc especially yaliopo kwenye OverTheCounter markets (NASDAQ) online na kuziuza online na pia kupata dividends.

Kikubwa nachotaka kuelewa ni platform zipi zinatumika na naweza nikapata mpaka dividends.

Naomba Msaada wenu tafadhari.
 
Anza kununua hisa za nyumbani kwanza. Huwezi anaza za kimataifa kabla ya kujipatia uzoefu nyumbani.
 
As tunaangaika kutafuta njia mbalimbali za kuinvest na kusaka kipato...nimekuwa interested na swala zima la stocks trading. Nimejaribu kufatilia sana lakini bado sijapata jibu la kuniridhisha, namna gani naweza kununua hisa za makampuni kama apple, Nokia, etc especially yaliopo kwenye OverTheCounter markets (NASDAQ) online na kuziuza online na pia kupata dividends. Kikubwa nachotaka kuelewa ni platform zipi zinatumika na naweza nikapata mpaka dividends.

Naomba Msaada wenu tafadhari.
Utajutia na wala kusumbuka, na miezi nao 6 sasa nilikuwa naogopa ila wapo cartified na sio scam, jiakikishie mwenyewe kokote.
 
Asanteni kwa majibu, ila bado sijaelewa vizuri mnachomaanisha. Ni kwamba siwezi kununua hisa za nje mpaka niwe nimewai kununua hisa za nyumbani? Au haiwezekani kununua hisa za nje ni bora ni invest nyumbani? Au ni vp?
 
utajutia na wala kusumbuka,na miezi nao 6 sasa nilikuwa naogopa ila wapo cartified na sio scam ,jiakikishie mwenyewe kokote

Shukrani, nadhani ndio nilichokuwa nakitafuta
 
Asanteni kwa majibu, ila bado sijaelewa vizuri mnachomaanisha...ni kwamba siwezi kununua hisa za nje mpaka niwe nimewai kununua hisa za nyumbani? Au haiwezekani kununua hisa za nje ni bora ni invest nyumbani? Au ni vp?
Mfatilie huyu mtu youtube anaitwa adam khoo ni stock trader
 
As tunaangaika kutafuta njia mbalimbali za kuinvest na kusaka kipato...nimekuwa interested na swala zima la stocks trading. Nimejaribu kufatilia sana lakini bado sijapata jibu la kuniridhisha, namna gani naweza kununua hisa za makampuni kama apple,Nokia,etc especially yaliopo kwenye OverTheCounter markets (NASDAQ) online na kuziuza online...na pia kupata dividends...kikubwa nachotaka kuelewa ni platform zipi zinatumika na naweza nikapata mpaka dividends...

Naomba Msaada wenu tafadhari.
Inawezekana kwa kutumia brokers
 
Unaweza brother ukipata tu financial advisor mnzuri unanunua na platform ya kununulia ipo
Asanteni kwa majibu, ila bado sijaelewa vizuri mnachomaanisha...ni kwamba siwezi kununua hisa za nje mpaka niwe nimewai kununua hisa za nyumbani? Au haiwezekani kununua hisa za nje ni bora ni invest nyumbani? Au ni vp?
 
Za nyumbani unanunuaje.
Kama uko Dar Es Salaam kuna wauzaji wa hisa za makampuni ni utalipia na wao watafacilitate kila kitu wako kama brokers vile

Fika solomon stock broker wako jengo la ppf ya zamani au corner karibu na kituo cha city council
Au broker mwingine ulekeo ifm kutokea posta ya zamani kupitia freemason hall ,karibu na ubalozi mmoja nimesahau
 
Ukienda kuwaona waulize kuhusu madhara ya sheria mpya ya makampuni kwa operesheni za soko la hisa
 
Kama ilivyo kwa traders wa forex wanavyofanya ni kusign up na broker mojawapo na kudeposite then kutrade!!! Na ww pia unatakiwa kufanya hivyohivyo sign up na broker mzuri katika stock trading then utaweza kununua hizo hisa za nasdaq na broker mzuri ni TD AMERITRADE
 
Mkuu naomba mwanga kidogo kuhusu hawa TDAMERITRADE naona wanahitaji vitu vingi sana hadi kufungua account
 
Mkuu naomba mwanga kidogo kuhusu hawa TDAMERITRADE naona wanahitaji vitu vingi sana hadi kufungua account
Mi naweza kusema tu ya kuwa, ukiona kampuni ya dalali ( broker ) masoko ya bidhaa za kifedha anahitaji mashariti mengi kama TDAmritrade, ujue huyo ni Regitimate. Japo hatupimi regitimacy kwa njia hiyo pekee, kuna taasisi ambazo ndiyo regulator wa hao brockers. Hivyo cheki kama wameptitshwa katika taasisi hizo kuwa wao ni Regitimate. Uzuri wa TDAmeritrade wana platform nzuri sana zinazokusaidia kufanya matarajio ya kiufundi (Technical Analysis) kiurahisi na kwa ufasaha zaidi. For more information nitafute... +255746031110
 
Mfatilie huyu mtu youtube anaitwa adam khoo ni stock trader
Kila soko la hisa duniani lina Madalali (Brockers) ambao haswaa ndiyo tunawaita Market Makers. Hao ndiyo wanakuwezesha wewe kununua katika masoko mbalimbali duniani kama vile NYSE - NEW YORK STOCK EXCHANGE :: LSE - LONDON STOCK EXCHANGE :: TSE - TOKYO STOCK EXCHANGE, N.K. TDAmeriTrade na IG.com ni moja wa brockers wakubwa na regitimate ambao wanaaminika duniani. Wapo wengine wengi pia. Hawa wanatumia Platforms zao ambazo ni Online (Web App au Windows App, etc) ambapo wewe unaingia na kununua hisa mwenyewe katika strategy ya Day Trader, Long term Trader, Scalper, n.k.
 
Mimi sihitaji maelezo kuhusu stock markets.
 
Back
Top Bottom