Bookman Oldstyle
Senior Member
- Nov 3, 2019
- 147
- 47
Baada ya uteuzi wa Waziri mpya, Wizara ya Viwanda na Biashara imeanzisha utaratibu wa kuanzishwa kwa Wakala wa Shopping Malls Tanzania na kwa kuwa nchi iliyopata maendeleo fedha haina thamani haya ndiyo makujuku ya wakala huo:
1: Kujenga na kurasimisha shopping malls zilizopo kwa utaratibu uliopo kwa kila Wilaya.
2: Kuajiri watumishi wa kila Shopping Malls na kuwahudumia kwa mujibu wa utaratibu/kanuni zilizopo.
3: Kusimamia ununuzi wa bidhaa na kupata takwimu za manunuzi ya bidhaaa mbalimbali kwa mujibu wa miongozo.
4: Kushauri Wizara katika uratibu wa manunuzi na usimamizi wa mahitaji ya shopping malls nchini.
5: Kushauri mbinu mbalimbali za uongezaji dhamani wa bidhaa mbalimbali ikiwemo vifungashio vya bidhaa.
6: Kushiriki kikamilifu katika shughuli za mipango miji kwa kutoa ushauri wapi zijengwe ili kuongeza thamani ya miji na sekta ya usafirishaji.
7: Kutoa ushauri kwa Wizara ya Viwanda na Biashara ya namna bora ya kuondokana na bidhaa feki pamoja na kushauri taasisi nyingine za kuthibiti bidhaa ili kuharibu bidhaa husika.
Tag kuongeza watu wa kupanda ndege, reli na kupunguza utitiri wa majengo yasiyotumika.