Natafuta mbia wa kufanya biashara ya mbao na magogo

e2n

JF-Expert Member
Dec 24, 2015
636
790
Salamu wana jf.

Kwanza kabisa nipende tu kuanza Uzi wangu kwa kumshukuru mungu na wema na fadhiri zake. Anazotupa pumzi na uhai wake.

Pili niende moja kwa moja kwenye mada. Mimi nipo mkoa wa pwani kuna furusa nimeiona inalipa sana hususani kwa sisi vijana ambao tunatafuta maisha. Nataka kufanya biashara ya mbao za miti ya porini za kutengenezea samani. Nimeona ni biashara nzuri ambayo ina faida sana. Mimi mtaji sina Ila natafuta mtu mwenye mtaji tushirikiane na Mimi katika shughuli hii. Kwa huku niliko mtaji unao hitajika ni kama 2,000,000 tu. Hivyo kama kuna mtu anataka kufanya biashara hii karibu.
 
Miti pori siku mbili mali asili washakusweka selo. ni kweli inalipa sana cha muhimu usikamatwe ukifanikiwa ulete mrejesho
 
Upo wap
Salamu wana jf.

Kwanza kabisa nipende tu kuanza Uzi wangu kwa kumshukuru mungu na wema na fadhiri zake. Anazotupa pumzi na uhai wake.

Pili niende moja kwa moja kwenye mada. Mimi nipo mkoa wa pwani kuna furusa nimeiona inalipa sana hususani kwa sisi vijana ambao tunatafuta maisha. Nataka kufanya biashara ya mbao za miti ya porini za kutengenezea samani. Nimeona ni biashara nzuri ambayo ina faida sana. Mimi mtaji sina Ila natafuta mtu mwenye mtaji tushirikiane na Mimi katika shughuli hii. Kwa huku niliko mtaji unao hitajika ni kama 2,000,000 tu. Hivyo kama kuna mtu anataka kufanya biashara hii karibu.
Upo wapi mkuu?Toa mchanganuo wa hiyo 2000000 ili nione kama inalipa au?
 
Nipo Rufiji kama upo tayari tuwasiliane tu mkuu
 
Salamu wana jf.

Kwanza kabisa nipende tu kuanza Uzi wangu kwa kumshukuru mungu na wema na fadhiri zake. Anazotupa pumzi na uhai wake.

Pili niende moja kwa moja kwenye mada. Mimi nipo mkoa wa pwani kuna furusa nimeiona inalipa sana hususani kwa sisi vijana ambao tunatafuta maisha. Nataka kufanya biashara ya mbao za miti ya porini za kutengenezea samani. Nimeona ni biashara nzuri ambayo ina faida sana. Mimi mtaji sina Ila natafuta mtu mwenye mtaji tushirikiane na Mimi katika shughuli hii. Kwa huku niliko mtaji unao hitajika ni kama 2,000,000 tu. Hivyo kama kuna mtu anataka kufanya biashara hii karibu.
Una VIBALI ??
 
Mtaji ni milion mbili, na unatafuta partner mwenye milion mbili mushirikiane wakt wew huna hata mia, contribution yako ni ipi sasa kwenye hyo biashara?
 
Kwa mtu anayeijua biashara hiyo anajua nafasi yangu iko. Asante kwa mawazo yako.
 
Back
Top Bottom