Top 10 biggest banks in Tanzania by assets

Top 10 biggest banks in Tanzania by assets

MPUNGA MMOJA

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
304
Reaction score
403
(shillings)

[emoji910] NMB 8.18 trillion

[emoji910] CRDB 8.13 trillion

[emoji910] Stanchart 2.4 trillion

[emoji910] NBC 2.1 trillion

[emoji910] Stanbic 1.9 trillion

[emoji910] DTB 1.3 trillion

[emoji910] Exim 1.2 trillion

[emoji910] TCB 1.1 trillion

[emoji910] Absa 974bn

[emoji910] Citi 943bn

Source Q3-2021
 
Hakuna faida kuweka ela bank hsa kma kipato chako ni chini ya dola 500 kwa mwaka
Nashukuru, lakini naamini utakubaliana nami kua wapo watanzania wanao tengeneza zaidi ya hizi $ 500 kwa mwaka.

Je wananufaika vipi na benki zao kua na ukwasi mkubwa na hasara pia maana kila kitu kina pande mbili...
 
Sh ngapi?

Mshahara ni siri ya muajiriwa na muajiri. Sio sahihi
Na wateja wake hawafiki 10000 nchi nzima

Sent using Jamii Forums mobile app

Citi bank ime focus kwenye corporates customers. Sio kina sisi wa kupokelea mishahara.

Hata ukigoogle citi bank ndio bank kubwa kuliko zote zilizopo nchini tanzania.. sema hapo imewekwa ya Tanzania tu inayojitegemea..

Ila kwa level za dunia nzima hana mpinzani hapo kwenye hiyo list. Citi bank yupo kila nchi duniani
 
Mshahara ni siri ya muajiriwa na muajiri. Sio sahihi

Citi bank ime focus kwenye corporates customers. Sio kina sisi wa kupokelea mishahara.

Hata ukigoogle citi bank ndio bank kubwa kuliko zote zilizopo nchini tanzania.. sema hapo imewekwa ya Tanzania tu inayojitegemea..

Ila kwa level za dunia nzima hana mpinzani hapo kwenye hiyo list. Citi bank yupo kila nchi duniani
Jibu unalo? La kwamba ni sh ngapi?
 
Citi bank branch zao zipo wapi bongo hii?..

Sent using Jamii Forums mobile app

Wapo pegeout house upanga.. wao hawanaga utaratibu wa branches kila sehemu kama bank zingine.. wao wanaweka branch moja tu kila nchi kwa ajili ya kuhudumia makampuni makubwa na matajiri level za kina Mo ama Bakhressa tu.

Hawahudumii wateja kama mimi na wewe
 
Back
Top Bottom