Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari mjasiriamali, Kama wewe ni mmiliki wa Kampuni au unategemea kuanzisha Kampuni siku za usoni hapa nimekuandalia list ya taarifa 9 Unazoweza kuzibadilisha baada ya Kusajili Kampuni yako. 1...
5 Reactions
6 Replies
434 Views
Samsung ni kampuni ya simu? ndio nje ya Korea sio ndani ya Korea, ukiulizwa kuhusu kampuni ya Samsung utajibu haraka haraka kwamba inahusika na utengenezaji wa simu Ila ukifika Korea kusini Mambo...
12 Reactions
22 Replies
705 Views
"Ninunue hisa za kampuni ipi ?" Hili ni moja ya swali ambalo kila Mwanahisa alishawahi kujiuliza au huwa anajiuliza. Leo nitatoa njia nyepesi ambazo utatumia katika kuchagua kampuni utakayoenda...
2 Reactions
0 Replies
303 Views
Unaweza kumfundisha mtoto wako kutafuta na kutumia pesa kwa kuanza kumjengea tabia ya kuweka akiba, kuelewa thamani ya kazi kupitia shughuli ndogo za nyumbani, na kumshirikisha katika maamuzi ya...
1 Reactions
0 Replies
106 Views
Mimi ni mmoja wa wadau wa shughuli za ushirika katika Wilaya ya Manyoni, na napenda kuwasilisha changamoto kubwa inayohusu uwazi katika utoaji wa zabuni ndani ya Chama cha Ushirika CEMACo. Kwa...
1 Reactions
2 Replies
144 Views
Habarini wakuu Katika Harakati za hapa na pale nimepata milion 3 nifanye biashara gani?ili niweze kupata Kwa siku faida ata 30k.
11 Reactions
37 Replies
1K Views
Je, unatafuta pikipiki bora ya umeme Dar es Salaam kwa ajili ya kurahisisha huduma za delivery? Kama wewe ni mfanyabiashara, unajua kuwa kikwazo kikubwa cha faida kwa sasa ni kupanda kwa bei ya...
13 Reactions
66 Replies
3K Views
Leo usiku, majira ya saa mbili hadi saa tatu, nilijikuta nipo kwenye moja ya grocery ndogo katika mji wa Mwandoya, wilaya ya Meatu mkoani Simiyu. Mazingira yalikuwa tulivu kama ilivyo kawaida ya...
0 Reactions
0 Replies
132 Views
Moja ya kipengele muhimu cha kuangalia kabla ya kununua Hisa za kampuni flani,ni Mapato ya kampuni. Kampuni inaweza ikawa ina thamani kubwa labda kutokana na muhemko wa soko katika hiko kipindi...
0 Reactions
0 Replies
93 Views
Habari Wadau! Mimi ni kijana mtafutaji wa hali ya chini kwanza niseme jamii forums n8 sehemu iliyonifanya nipate wazo hili ambalo naweza sema lime badilisha maisha yangu kwa kiasi kikubwa! Mnano...
51 Reactions
94 Replies
18K Views
Anonymous
Tunaomba muangalie na hizi Microfinance zinazo kopesha, riba imekuwa kubwa sana watu wanaumia especially na apps mfano wanajiita flying shilling ili uweze kupewa laki mbili ni lazima ukope laki 4...
0 Reactions
4 Replies
233 Views
Ushawahi kujiuliza ipi ni kampuni kubwa hapa nchini...? Japo msemo "Kampuni kubwa ni tungo tata" lakini mara nyingi huangazia ukubwa wa Thamani ya kampuni katika soko la hisa Thamani ya...
1 Reactions
4 Replies
354 Views
Hello wa JF, Kwa mtu ambaye anahitaji Sulphur kwa matumizi ya viwandani au Migodini inapatinaka. Ipo kwenye mfumo wa GRANULAR. Mzigo upo wa kutosha (zaidi ya 15,000 MT). Mzigo upo Dar es...
0 Reactions
6 Replies
635 Views
Kama title inavyojieleza nina idea ya kuanzisha kiwanda kidogo cha pombe ila bado sijui costs za kufinance projects na kwa mwenye madini naomba anipatie. Pia, kama kuna mwenye uzoefu na biashara...
0 Reactions
42 Replies
14K Views
Siku hizi baadhi ya wasaidizi hawaji kazini kutafuta mshahara, wanakuja kujifunza mfumo then wanafungua biashara yao ndani ya biashara yako. Unafungua baa kubwa, unaajiri manager unamlipa vizuri...
26 Reactions
40 Replies
1K Views
🖊️ UNIVERSAL STYLUS PEN 🖊️ Badilisha namna unavyoandika na kufanya kazi kidigitali kwa kutumia Stylus Pen yenye ubora wa hali ya juu! 📱💻 ✅ Inafanya kazi kwenye iOS, Android na Windows ✅ Uandishi...
1 Reactions
1 Replies
141 Views
Pikipiki za umeme za RAVOX:suluhisho la Ghalama za mafuta kwa boda boda
0 Reactions
5 Replies
286 Views
Habari mjasiriamali, Kwema thread iliyopota niliongelea namna ya kujisajili Brela, kwenye thread hii nitaelezea documents 6 unazohitaji ili Kuisajili Kampuni Yako TRA baada ya kumalizana na BRELA...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau naomba taarifa kichwa cha habari chahusika hapo juu.
2 Reactions
2 Replies
88 Views
Habari za muda huu wanajukwaa. Wakazi wa manispaa ya Moshi na viunga vyake mnakaribishwa sana kununua mbuzi na kondoo kwa ajili ya sikukuu ya Eid Al- Adh-haa ambayo inatarajiwa kufika ndani ya...
2 Reactions
5 Replies
256 Views
Back
Top Bottom