Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Kuna kitu nimekiona miongoni mwetu sisi waswahili, ambacho sio salama kabisa katika kuendesha miradi yetu ya kibiashara. Hii unaweza kuwa ndio sababu kubwa sana ya biashara nyingi kufa kifo cha...
11 Reactions
8 Replies
2K Views
Hawa wanatoa mikopo, je hawana utapeli maana mtu unataka kuchukua mkopo, nashangaa Wànasema ulete 250,000 eti ni Akiba yako na 61,000 kama bima ya mkopo at the same time wanashikilia Mali zako...
3 Reactions
62 Replies
15K Views
Nikiuliza bei ya kiroba cha mihogo sokoni niliambiwa ni 70,000-80,000. Inamaana ukiwa na heka tano za mihogo Kisarawe, na una van ndogo inayoweza kubeba viroba vinne kwa siku. Una uwezo wa...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Salaam! Kama ilivyo kwa kiumbe chochote kiwe hai au kisicho hai inafikia kipindi kinahitaji new energy au mbinu mbadala kuweza kutoka pale kilipo na kusogea sehemu nyingine. Vivo hivyo kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu nilikua naomba msaada JUU ya manunuzi ya mtandaoni. natamani kuwa mfanyabiashara wa vitu vya Electronic ambayo kwenye site ya alibaba vinauzwa kwa bei rafikiila changamoto huwa ni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari za usiku wakuu, Nina budget ya 6.2 milioni Ila wazo langu ni kufungua studio ya picha vipi kwa budget hio naweza fungua studio yenye viwango na Kama kuongezeka niongeze Bei gani maana hata...
0 Reactions
0 Replies
984 Views
Kuna siku nilisema soda zimepungua mtaani. Sasa manoni tunayaona. Ukiwa na duka kwa sasa hupati soda kwa gari Hadi uwe umeorder kiwandani. Pili bei ya jumla imeongezeka kutoka 9500 Hadi 11,000...
2 Reactions
17 Replies
9K Views
bridge and walks ways made out of recycled plastic timber. The projects has brought an amaizing and incredible look, free from several maintainance costs, free from termites, free from rusts and...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Nimenunua mabati ya kiboko G28 lakini wakati wa kuezeka fundi akanieleza kuwa hayakai kwenye usawa kama ailvyozoea. Nilipoyapima nikapata vipimo vifuatavyo Upana: sehemu ya chini ni cm 82 na...
2 Reactions
29 Replies
29K Views
Wadau naomba kujua yafuatayo kuhusu biashara ya printing. 1. Machine nzuri za design and printing. 2. Wapi naweza pata machine hizi. 3. Mtaji kiasi gani nawe nao kuanza biashara hii 4. Designer...
2 Reactions
29 Replies
16K Views
Nilikuwa kwenye Youtube channel ya Millard Ayo nikakutana na stori ya kijana mmoja kwa jina Scott ambaye ni Mtanzania,aliyefungua biashara ya restaurant ya Pizza na ikanivutia kuangalia video...
13 Reactions
102 Replies
21K Views
Wafabiashara wa masoko ya Hisa dunian(forex,crypto,bitcoins,binary options,gold,oil etc ebu tukutane hapa. Eleza changamoto unazokutana Nazo, umekata tamaa au bado, umesoma vitabu vingapi, kipi...
6 Reactions
60 Replies
8K Views
Mdau mmoja amejiajiri na anaweza kupata sio less than 1m monthly. Wazazi hawaelewi wanataka aombe ajira. Yeye binafsi ndoto yake ni kuniajiri kwa sababu ya ujuzi wake na competence anaamini...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Naomba kufahamishwa utaratibu wa kupata leseni ya wafanya biashara wadogo mbadala wa vitambulisho vya Magufuli
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wakuu! Naomba kuelimishwa kidogo, nataka kufanya biashara na Supermarket moja hapa jijini Dar, wameahidi kuchukua mzigo mkubwa iwapo ntakuwa namiliki risiti za EFD kwaajili ya VAT. Kwa...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Naomba mnipe madini kuhusu biashara ya nguo jinsi ya kupata kwa bei rahisi na kuuza (vijora tshirt na jeans)
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Dalali wa nyumba na frame za biashara musoma anatakiwa hapa...karibu DM nikuunganishe
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Vijana wameanzisha mobile app ya kujifunza kuhusu masuala ya uwekezaji, App hiyo inapatikana play store. https://play.google.com/store/apps/details?id=com.wapnum.yiflms
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwema wakuu.mimi Ni mjasiliamali naona Kuna fulsa ya kutoa loss report za upotevu wa Mali za watu maana naona biashara yangu ipo located na kituo Cha police nitumie njia gani aliye na ABC anipe...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Nahitaji kujua masoko ya soya ya ndani ya nnchi pia mwenye kujua jinsi ya kupata masoko nnje ya nnchi bei ya soya kwa kilo tafadhali ani pm tufanye biashara Mzigo uliopo ni tone 5000
0 Reactions
1 Replies
535 Views
Back
Top Bottom