Financial market expert tukutane hapa

Financial market expert tukutane hapa

scalper

New Member
Joined
Oct 3, 2020
Posts
1
Reaction score
122
Wafabiashara wa masoko ya Hisa dunian(forex,crypto,bitcoins,binary options,gold,oil etc ebu tukutane hapa.

Eleza changamoto unazokutana Nazo, umekata tamaa au bado, umesoma vitabu vingapi, kipi na kipi, safari unaionaje, utatoboa?

Pls kama umeshindwa biashara kaa kushoto usilete maneno ya kukatisha watu tamaa
 
Wafabiashara wa masoko ya Hisa dunian(forex,crypto,bitcoins,binary options,gold,oil etc ebu tukutane hapa
Eleza changamoto unazokutana Nazo, umekata tamaa au bado, umesoma vitabu vingapi,kipi na kipi, safar unaionaje, utatoboa?
Pls kama umeshindwa biashara kaa kushoto usilete maneno ya kukatisha watu tamaa
Mimi nimesoma forex bible, naamini nitatoboa
 
Majitu ya forex utayajua tu kayaone live sasa choka mbaya wamebakiwa na laptop walizomalizia chuo

Angalia status zao wanavyomakd faidi wakipost ila wanaishi kwa shida wanalazimisha utajiri kuchota akili za watu
 
Last quarter iliyoanza mwezi huu watu tumechezea reds kwelikweli[emoji23]
 
Hongera sana mkuu, hicho kitabu kinaitwa trading candlestick bible (monehisa homa a.k.a a God of the market) komaa nacho mkuu utatoboa kina very powerfully system of trading kazia sana kwenye top down analysis,market structure and trading Tact's keep going budd
Kiweke hapa mkuu...
 
Kiweke hapa mkuu...
Download link:

Kwenye hii thread 👇

Wafabiashara wa masoko ya Hisa dunian(forex,crypto,bitcoins,binary options,gold,oil etc ebu tukutane hapa
Eleza changamoto unazokutana Nazo, umekata tamaa au bado, umesoma vitabu vingapi,kipi na kipi, safar unaionaje, utatoboa?
Pls kama umeshindwa biashara kaa kushoto usilete maneno ya kukatisha watu tamaa
Forex bhana😂😂mi nshachokaga kusoma, market structure na sentiment zinatosha sana. Ukiovercomplicate utaishia kua na mawenge kwny kila move ya soko. Anyway skuizi naona ni bora kuwekeza pesa yangu in less risky instruments kama soko la hisa (OTC Stocks) na baadhi ya cryptos. Haya mambo ya pesa za bumkubaa hazina guarentee na zina kapepo flani ka greed😂😂kanashawishi ile mbaya.
 
Hongera sana mkuu, hicho kitabu kinaitwa trading candlestick bible (monehisa homa a.k.a a God of the market) komaa nacho mkuu utatoboa kina very powerfully system of trading kazia sana kwenye top down analysis,market structure and trading Tact's keep going budd
Usikariri, kipo kiitwacho forex bible kina pages zaidi 600.
 
Usijifanye unajua kila kitu, kama umeshindwa ni ww.. Ushamba wako na uvivu wako baki nao ww usiwaambukize wengine..et ukwel unasemwa kwa hiyo mwisho wako wa kufikir ni kwamba hii biashara ni scam?pole yako..kesho ntakuwa nahojiwa na ITV SAA 11:30 jion, usiache kutizama..
Jiangalie kwanza ulivyopauka kweny dp kama umekunywa sumu ya panya

Tafuta wanafunzi tu soko huliwezi nan hajui iyo forex ni sorted gambling
 
Thank you for your fixed mind pisi Kali..naona umeanza taarabu..kifup wewe huna akili ni mvivu,unaongozwa na emotion, unasikiliza watu bila personal research,kichwa chako kimejaa mifupa akili kidogo ndo maana unakurupuka kureply bila kusoma maudhui ya threads,ni mihemuko tu ndo imekutuma kujib wewe hukuwa na la kujibu apa, ulitakiwa ukae pembeni kisa tu ulisikia Fulani kapoteza hela forex tayali umeshaconclude na wew,bila ata kufanya research kwa wanaopiga pesa wanafanyaje! Control ur emotions bro.
NB, kama unafikiri waandishi wa vitabu wanajifurahisha tu awaandiki vitu halali ni mawazo yako acha watu wachimbe waujue ukweli

Robert Kiyosaki aliwah kusema ukitaka kumficha mwafrica kitu weka kwenye vitabu
We kama ni mvivu wa kusoma acha wenzako wasome we zunguka tu na vyeti vyako maofisin ukitafuta kazi ipo siku utaombwa ili upate ajira na utatoa

Nakushauri, kama unataka kuwa financially free jichimbie ndani kuanzia miezi 6 na kuendelea soma vitabu,Fanya practice utapata knowledge that will feed you and your family all the rest of your life..
Acha kejeli kwa vitu usivyovijua tafta ukwel kwanza ata sis tulikuwa kama ww wabishi kama ww na wengine humu jf, but now najuta kwa nn sikuanza mapema labda ningekuwa kwenye level za kina Sandile, Ref whyne, DJ coach, okello odingo na wengine waliofanikiwa..
 
Back
Top Bottom