Biashara ya design na printing

Shayla

Senior Member
Mar 25, 2014
193
129
Wadau naomba kujua yafuatayo kuhusu biashara ya printing.
1. Machine nzuri za design and printing.
2. Wapi naweza pata machine hizi.
3. Mtaji kiasi gani nawe nao kuanza biashara hii
4. Designer mzuri analipwa kiasi gani?
5. Faida, hasara na changamoto za hii biashara.
6. Wapi naweza pata madisgner waziri Kwa hii kazi.
7. Kwa kuanza ukiacha machines vitu gani vingine natakiwa kua navyo katika hii biashara.

Natanguliza shukrani kwa wote watakaonisaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mimi ni designer mzuri..ila nafanya designing then napelekea kwa mwanangu ambaye wana kampuni ya printing.so naweza kukupa connection nae Yeye akakupa info zote....lakini kuhusu designer nihaidi ajira hapo
 
Inatakiwa uwe a one stop solution for packaging kwa wajasiliamali,ili utengeneze pesa chap chap.
Nipe umarket manager tutengeeze faranga,,Nina uzoefu wa kufanyia Apple enzi za job lusinde,,,ooh,,namanisha Steve job,
 
Wadau naomba kujua yafuatayo kuhusu biashara ya printing.
1. Machine nzuri za design and printing.
2. Wapi naweza pata machine hizi.
3. Mtaji kiasi gani nawe nao kuanza biashara hii
4. Designer mzuri analipwa kiasi gani?
5. Faida, hasara na changamoto za hii biashara.
6. Wapi naweza pata madisgner waziri Kwa hii kazi.
7. Kwa kuanza ukiacha machines vitu gani vingine natakiwa kua navyo katika hii biashara.

Natanguliza shukrani kwa wote watakaonisaidia

Sent using Jamii Forums mobile app

1.Machine Nzuri kuanzia large format angalau uwe na kuanzia 40m hadi ndogo za 1m

2.machine hizi unaweza nunua dar au ukaagiza kutoka China nk

3. Angalau uwe na 10 million kama utakuwa na mashine zote hizo hapo juu

4.utamlipa wastan wa 500k - 1000k kulingana na uwingi wa kazi

5.Faida yake ni kubwa huwezi kukosa kutengeneza faida hadi ya 3m-5m kwa mwezi. Hasara zake inatokana na kukatika kwa umeme suluhisho uwe na generator na changamoto kuzidiwa kwa kazi kulingana na mahali ulipo weka ofisi vile vile mwanzo kukosa wateja kwa kuwa bado unakuwa hujafahamika.

6.Ma designer wazuri wapo wengi tu, ukiingia kwenye industry ni rahisi kuwapata.

7.materials na vifaa vingine vile vya stationary.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mimi ni designer mzuri..ila nafanya designing then napelekea kwa mwanangu ambaye wana kampuni ya printing.so naweza kukupa connection nae Yeye akakupa info zote....lakini kuhusu designer nihaidi ajira hapo
kama bado ujapata ajira ni pm
 
Naomba kuuliza bos,
Machine za large-format kwa hapa Tanzania na hata nje Naweza kupata yakuanzia walau inayoprint 100cm au chini ya hapo kwa bei gani?
Na je kwa machine ya kuprint Business card, Flayer brochure nk, Ni ipi nzuri kati ya Xerox & Canon kwa maana ya ubora wa kazi n a ubora wake na pia upatikanaji wa spare?

Ndo naaanza na pia mtaji wangu ni mdogo hivyo naoma ushauri wa wapi pakuanzia.
Natanguliza Shukrani.
 
Large Format unapata ya kuanzia mita 1.3

Business Card printer, flyers n.k unaweza tumia hizo Epson printer l series mfano A4 l805, l1800 n.k usinunue l1300 ni zinazingua sana.

Kuhusu digital mbadala wa hizo Epson printer machine nzuri ni Canon printer hasa kwenye ufanisi, ubora na vipuli vyake.
 
Nashukuru mkuu Kwa majibu, Bei ya 1.3m Large format ni kiasi gani hapa kwetu?
 
Wadau naomba kujua yafuatayo kuhusu biashara ya printing.
1. Machine nzuri za design and printing.
2. Wapi naweza pata machine hizi.
3. Mtaji kiasi gani nawe nao kuanza biashara hii
4. Designer mzuri analipwa kiasi gani?
5. Faida, hasara na changamoto za hii biashara.
6. Wapi naweza pata madisgner waziri Kwa hii kazi.
7. Kwa kuanza ukiacha machines vitu gani vingine natakiwa kua navyo katika hii biashara.

Natanguliza shukrani kwa wote watakaonisaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
nimefanya kazi hizi kwa muda wa mika 3 kwa mda huu nimebanwa na shughuri kidogo nitakuja kukuelezea, but kiufupi nilikuwa natumia machine ya NORTSU QS 3011, Pia na EPSON 805, naweza nikakupa ushahidi wa kazi nilizo fanya, nitarejea kukuelezea vizuri, asante
 
Mkuu Kama itapendeza weka kazi ulizofanya zikiwa katika mfumo wa PDF,word,publisher nk
 
mimi ni designer mzuri..ila nafanya designing then napelekea kwa mwanangu ambaye wana kampuni ya printing.so naweza kukupa connection nae Yeye akakupa info zote....lakini kuhusu designer nihaidi ajira hapo
Mimi pia ni Logo designer.... Ila sijajua vzur bado jinsi nitavyofanya hii biashara, na gharama za printing
 
Natafuta mfanyakaz wa stationary.
Vigezo
Awe binti Hana mme,staki wanaume wahongaji mno.
Yuko tayar kujifisha mwenye
Awe anauzoefu na hizo kazi za stationary
Awe anajua kusoma kingereza vizuri
Awe mtu mstarabu mpenda dini
Awe mchapakazi kwelikweli.
Mshahara 80,000/= per month
 
Naomba kuuliza bei ya t shirt printing machine zinaendaje sokoni na zinapatikana wapi
Natafuta mfanyakaz wa stationary.
Vigezo
Awe binti Hana mme,staki wanaume wahongaji mno.
Yuko tayar kujifisha mwenye
Awe anauzoefu na hizo kazi za stationary
Awe anajua kusoma kingereza vizuri
Awe mtu mstarabu mpenda dini
Awe mchapakazi kwelikweli.
Mshahara 80,000/= per month
Details zako haziko clear au mpka mtu aslide DM
 
Back
Top Bottom