Ukimsikiliza huyo bwana hapo analalamikia gharama za kusafirisha container 40 fit umefikia mpaka US dollar 2300-2500 wakati bandari ya Mombasa ni US dollar 1300 anasema kuna hatari ya wateja...
Ndugu wanajamvi, mimi nimejiajiri ktk tasnia ya ufundi ( mechanical Engineer) nimefanya ktk tasnia hii kwa miaka 10 sasa, kwa sasa nataka kushea changamoto na mtu mwingine mwenye nia ya dhati...
SAFARI YA KUTAFUTA PESA.
TUMIA NGUVU ZAKO KUPATA PESA.
Mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe, walisema wahenga.
Kubagua kazi ni kauli za wasio na maono.
Kuishi bila kazi na kuridhika kuwa...
NAMNA YA KUTENGENEZA PESA KWA KUTUMIA MAWAZO (AKILI)
Mtaalamu Albert Eisteirn aliwahi kusema kwamba asilimia 5% ya watu wote duniani ndio wanaoweza kufikiri
Na asilimia 15% ya watu wote duniani...
1.0 Utangulizi
Kipeperushi hiki kinatoa maelezo kuhusu taratibu muhimu ambazo watumishi wa umma wanatakiwa kuzingatia wanapohitaji msamaha wa ushuru kwenye vyombo vya usafiri (Magari na...
Habari za asubuhi ndugu zangu.
Kutokana na kukosekana kwa ajira. Nataka kujikita katika biashara ya Vitunguu Sokoni. Nataka kununua kutoka mkoani na kuja kuuza Dar es salaam sokoni.
Naomba...
Naona ni fursa ya kujiajiri kupitia kutoa huduma ya kuonyesha mpira, masumbwi, tamthilia pamoja na michezo mingine pia hata matukio mbalimbali, Je mchanganuo wa mtaji wake upoje?
Miaka ya 90 DHL walikua na ofisi mikoani na waliajiri vijana wa kupeleka mizigo kwa wateja. Vijana walipewa pikipiki kubwa na walifanya kazi kwa ufanisi.
Amazon ni kampuni kubwa, ukiweza...
Habari wadau
Nina visenti kidogo nataka kuwekeza nikuze mtaji. Biashara ni nyingi ila nahitaji ambayo sio pasua kichwa sana.
Kuna hii biashara ya pembezoni mwa barabara ya tairi za magari...
Habari za mchana wana JF,
Nilikuwa naomba kujua hoteli za Wachina kwa hapa dar es salaam zinapatina maeneo gan? Kama unajua hotel yoyote ya wachina na mahala ilipo unijuze
Waungwana niwatakie jumapiki njema!
Mimi ni mojawapo ya waliokuwa wanasubiri Kwa shaukukubwa Vitabu vioya vya Historian alivyoekeza Mh.MAgufuli viandikwe...!
Najua vilikuwa kwenye hatua ya mwishi...
Naombeni mwenye Proposal au Business Plan ya Kuendesha Shamba la Parachichi kwanzia kununua shamba, kuotesha mpaka kuvuna na boari/warehouse ijengwe shambani kwa ajili ya kuchakata na kufanya...
Inashangaza wataalam wetu Tena wakiongozwa na professor maji ya mto Mara kuharibika sababu ni mavi ya ng'ombe
Kweli wataalam wetu wameamua kutuuza hivi hivi kwa mabeberu hapana tuseme no...
Naomba ufafanuzi yakinishi kuhusu biashara ya mkaa kwa hapa dar es salaam. Upatikanaji wake, usafirishaji, soko, vibari na uhuru, uendeshaji, pia na mtaji ambayo naweza anza nao .
Moja ya changamoto ambazo zinasumbua biashara ndogo ni imani ambazo wafanyabiashara wanazo. Kuna dhana moja ipo kwenye mitaa yetu kwamba kuna watu ambao ni chuma ulete. Watu hawa wanapokuja kwenye...
Serikali, kabla ya kutuhamisha maeneo tunayofanyia biashara zetu ndogo ndogo mfanye kwanza utafiti wa huko mnakotupeleka.
Sisi wafanyabiashara ndogo ndogo tumekuwa kukiingia kwenye mgogo na...