Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

kama unafanya biashara yoyote basi wateja ni muhimu kwako, makala hii inakupa sehemu nne za kupata wateja mtandaoni na mbinu za kunasa wateja kwenye vyanzo hivyo Hii ni kwa...
5 Reactions
7 Replies
2K Views
JINSI YA KUPATA WAZO LA BIDHAA YA KUUZA MTANDAONI NDANI YA MASAA 24 TU Najua uwa unasikia story za watu kupiga pesa mtandaoni yaani wanatumia smartphone au PC na internet kupiga mpunga na...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wana JamiiForums. Leo nimeona sio mbaya nikjaribu kuongelea swala la hizi investment platforms ambazo zina claim kuwa unaweza zitumia kujiingizia pesa mtandaoni kwa kuwekeza nazo. Kwenye...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Habarini wakuu mimi ni kijana mwenzenu mwenye mipango na malengo ya kufanikiwa kibiashara zaidi katika siku zijazo kutokana na maendeleo ya sayansi na teknologia katika nchi yetu na duniani...
1 Reactions
4 Replies
926 Views
Njia mojawapo ya kujihakikishia unakuwa mtu mwenye amani katika biashara yako ni kua na wateja na mauzo mengi kila siku. Donald Muller aliwahi kusema "Biashara bila mauzo ,nikujilisha upepo"...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
"Sasa ninaingiza kipato kizuri baada ya kusoma kitabu chako cha "MAUZO BOOSTER" nimeweza kupata mauzo endelevu na wateja ndani ya wiki moja na nusu" Hii ni moja kati ya shuhuda niliyopokea na...
0 Reactions
5 Replies
692 Views
Habari za mchana wanaJF!! Lengo la huu uzi ni kupeana mawazo na mbinu za jinsi ya kukaa katika mfereji wa pesa iwe kiuchumi, kibiashara au kiujasiriamali. Nawasilisha kwenu.
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Salaam wakuu. Kama kuna mtu humu anapatika au ana mtu yupo Rukwa Kamsamba ajitokeze. Kuna issue muhimu natamani tudiscuss
1 Reactions
5 Replies
896 Views
1. Elewa hitaji la mteja Kamwe huwezi kumhudumia mteja vizuri bila kufahamu hitaji lake. Mara mteja anapofika katika biashara yako hakikisha unafahamu na kuelewa vyema anahitaji nini kabla ya...
7 Reactions
8 Replies
6K Views
Habari wakuu Leo nimeenda bank branch ya NMB nikawaomba wanifanyie hesabu ya milioni 40 kwa muda wa mwaka, wanadai hadi mwisho wa mwaka napata laki 240,000 kama faida Sasa just imagine unawapa...
37 Reactions
142 Replies
16K Views
Binafsi hua nashangaa sana sipingani na kupanda kwa bei ya mafuta lakini hua nashangaa mchakato unavokua Mara nyingi EWURA ndio hutangaza bei mpya lakini sijawahi kuona wakitangaza bei mchana...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Matumaini yangu u mzima wa afya.. mimi ni kijana wa kiume kwa sasa naishi Iringa mjini, Kihesa ila bado sio mwenyeji sana wa hapa. Dhumuni la andiko langu ni kuwaomba wakazi na wenyeji wa Iringa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini wapendwa; Nna ndugu yangu yupo Marekani anahitaji nimtumie sato pamoja na dagaa wa kigoma,mana ana siku nyingi hajaja huku amezimisi, pia aweze kuangalia na namna ya kuwa namtumia afu...
2 Reactions
1 Replies
846 Views
Naandika kama mdau na mzoefu kwenye kada husika Kuna wengi wetu hapa hawana ufahamu wa ulimwengu wa magari na biashara yake inavyofanyika... Hii sio kesi wala huwezi kuwabeza kwakuwa si kila mmoja...
8 Reactions
21 Replies
5K Views
Habari wadau, ninahitaji mfanyabiashara wa asali au mfugaji wa nyuki ambae ana vibali stahiki vya kuuza na kusafirisha maana nina wafanyabiashara wapo kenya wanasafirisha asali kwenda dubai n.K...
4 Reactions
35 Replies
6K Views
Sera za kigeni, za mataifa mbalimbali ma kubwa kwa madogo kwa kuzingatia maitaji yao kiuchumi na kimaendeleo zimejikita katika, kutengeneza uhusiano mzuri kwenye uwanja wa mahusiano ya kimataifa...
0 Reactions
1 Replies
478 Views
Maisha ya biashara na ujasiriamali kila unapoamka inapaswa upashe akili moto kuongeza ile 500 uliyoipata jana leo upate 1000 na kesho kutwa upate 1500 Hiyo ndio inatwa biashara na ujasiriamali...
38 Reactions
71 Replies
15K Views
Guys. Najuwa wengi tunapitia changamoto ya udhaifu wa uchumi lakini naomba kuongea na wewe kijana unae waza na Kufikiria nini ufanye na wapi uanze[emoji26]., anza apo apo na kwa icho...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Za jioni wapendwa katika bwana. Samahanini kama ntawakwaza akina mama/dada/bibi waliomo humu. Scenario1. Unakuta baba ana biashara kubwa hiki na kile.. unakuta mama labda nae anapita pita...
8 Reactions
27 Replies
2K Views
Naomba kuuliza, Hivi kwa mtaji wa sh laki moja na nusu, naweza anzisha biashara gani inayolipa na yenye uwezo wa kunipatia faida ya hadi 20, 000 kwa siku! Msaada tafadhari!! Lakini isiwe network...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Back
Top Bottom