Ujuzi kuhusu biashara ya Agent chin

Jul 31, 2022
21
19
Habarini wakuu

mimi ni kijana mwenzenu mwenye mipango na malengo ya kufanikiwa kibiashara zaidi katika siku zijazo

kutokana na maendeleo ya sayansi na teknologia katika nchi yetu na duniani kiujumla kumekuwa na uzalishaji wa fursa mbalimbali Nchini Ambazo zitatusaidia sisi kama vijana kupiga hatuna kutoka sehemu moja kwenda nyingne

Hivyo ningependa kujua zaidi kwa watu wenye uzoefu juu ya Agent wa china ambao hutumika kuagizia watu bidhaa katika nchi mbalimbali ikiwemo China na mimi kama kijana nimetamani kujikita katika sekta hyo ya kuwa Agent wa china ili kukuza maendeleo katika nchi yetu

Hivyo yoyote mwenye uleweza ni kwa jinsi gani mtu anaweza kuwa Agent wa china na baadhi ya vitu muhimu kuwa navyo

Natawashukuru sana kwa mchango wenu katika kukamilisha safari yangu ya maisha na ndoto zangu.
 
Kwanza tuanze from the scratch, ulishawahi kuagiza japo ki cover ama ki screen protector kutoka China kwa njia ya mtandao kama Aliexpress?

Au tuliweke hivii, wewe uelewa wako ni % ngapi katika hiyo michakato?
 
Hii ni full course , jifunze a,b,c za imports and export business ili ujue mambo ya finances, bonds, taxation, customs etc yanavyofanya kazi, fungua kampuni ya import & export na ujue nini unataka kuagiza au kuuza, kuna source nyingi sana za kuagiza na kuuza online au unaweza kusafiri mwenyewe , ukiweza kuhudhuria trade fairs kujua products ni vizuri ili ujifunze zaidi, ni rahisi lakini seriousness na commitment iwepo
 
Ndio niliwahi kuagiza vitu vidogovidogo lkn nilitaka kujua hawa maagent wa Agiza china wanatumia mitandao hyo kwa mfano alibaba ili uagize kwa bei nafuu inabidi mzigo uwe mkubwa kidogo
 
Hii ni full course , jifunze a,b,c za imports and export business ili ujue mambo ya finances, bonds, taxation, customs etc yanavyofanya kazi, fungua kampuni ya import & export na ujue nini unataka kuagiza au kuuza, kuna source nyingi sana za kuagiza na kuuza online au unaweza kusafiri mwenyewe , ukiweza kuhudhuria trade fairs kujua products ni vizuri ili ujifunze zaidi, ni rahisi lakini seriousness na commitment iwepo

Nashukuru mzee hapo kwenye serious na commitment nimependaa asante
 
Back
Top Bottom