Kamsamba!!!Salaam wakuu.
Kama kuna mtu humu anapatika au ana mtu yupo Rukwa Kamsamba ajitokeze. Kuna issue muhimu natamani tudiscuss
Yes, ipo naskiaKamsamba!!!
Nafaham Kamsamba ya Nkala, Wilaya ya Momba, mkoa wa Songwe.
Je Rukwa Kuna Kamsamba pia?
Nipo serious mkuu, kuna project ya drilling inafanyika huko nataka nijueUsije mtoa kafara