Fixed deposit kwa sasa hazina faida tena

TEAM 666

JF-Expert Member
Dec 7, 2017
4,331
8,422
Habari wakuu

Leo nimeenda bank branch ya NMB nikawaomba wanifanyie hesabu ya milioni 40 kwa muda wa mwaka, wanadai hadi mwisho wa mwaka napata laki 240,000 kama faida

Sasa just imagine unawapa milioni 40 ndani ya kipindi cha mwaka mzima usubirie 240k si wizi huu!
 
habari wakuu leo nimeenda bank branch ya nmb nikawaomba wanifanyie hesabu ya milion 40 kwa muda wa mwaka wanadaia hadi mwisho wa mwaka napata laki 240,000 kama faida

sasa just imege unawapa milion 40 ndani ya kipindi cha mwaka mzima usubilie 240k si wizi huu
Sii hatari hii
 
Labda walikosea aisee! Mbona napiga hesabu hapa ni kama wanakupa faida ya chini ya nusu ya 1%, yaani wanakupa faida ya 0.6%.

Yaani kwa sisi tunaobeti ni sawa na odds 1.06.
Kufupisha uki-stake 40,000,000 kwenye odds 1.06 ndio unapata 40,240,000.
BIASHARA KICHAA.
 
Back
Top Bottom