Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Tatizo la tabia na character kutofautiana
0 Reactions
0 Replies
265 Views
Habari JF Kuna kijana wangu amepata Bajaji ya mkopo. Sasa Kuna kijiwe huku kigamboni gharama za kujiunga Ni 50,000/= Na mzunguko wa kawaida Sana. Lakini anasema kupitia Bolt na Uber Ni bure...
0 Reactions
6 Replies
998 Views
Habari JF Naomba msaada Nina tafuta Kampuni au mtu yoyote mwenye ujuzi wa ujenzi wa Banda zuri la Kuku lengo Ni kufuga Kuku wa kienyeji kwa Biashara Naomba msaada Nipo mwanza naomba msaada Sana.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu, Ninatamani kufungua carwash lakini sijui lolote juu ya hi kazi, naomba kufahamu vitu gani muhimu vinatakiwa, mtaji kiasi gani, changamoto zake, faida zake na mambo mengine muhimu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau katika kutaka kujikomboa kimaisha nimeona Alibaba.com kununua mzigo na kusafirisha hadi BONGO siyo gharama kubwa ,issue ikabaki kwangu je wazee wa Kaisari -TRA hapo ndio kikwazo mara...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari ya upande wa huko rafiki yangu, bila shaka unaendelea vizuri kabisa. Mimi nakusalimia hapa kutoka mjini Morogoro. Leo nimeukumbuka ujumbe mmoja ambao niliwahi kuusoma siku za nyuma...
28 Reactions
23 Replies
5K Views
Wadau naomba mwenye uzoefu au anayefanya Kazi na Taasisi za kifedha anisaidie ku-suggest Taasisi ambayo haina longolongo kutoa mkopo wa biashara kwa haraka na uhakika. Nimejaribu Taasisi mbili...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Kwema wakubwa, Naomba niende moja kwa moja kwenye swali. Nina wazo naona ni potential ambalo litasaidia watu wa hali ya chini vijijini nataka nikasajili Ngo kwa level ya kitaifa then nitekeleze...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari Waungwana! Nina 10M nifanye biashara ipi kwa mji mdogo wa Katoro? Hiyo hela itahusisha gharama za pango + maandalizi yote ya frame. Biashara itakayosimamiwa na mtu wa jinsi ya kike kwa...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Namna ya kupata mtaji wa kuanzisha biashara ndogo au kuongezea palipopelea. Mtaji na pesa ya kuendeshea biashara yako ni kama damu na oksjeni kwenye mwili wako. Kuna namna mbalimbali za kupata...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Mimi ni mfanyabiashara chipukizi, napatikana Tanga. Natafuta wanunuzi wa zao la ngwara au fiwi jamii ya maharage na choroko. Nina gunia zisizo pungua 8 store. Pia itapendeza kupata mawasiliano...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Hali ya Mfumuko wa Bei ya bidhaa muhimu ikiwemo chakula kwa jiji la Dar es salaam imezidi kupanda kwa kasi licha ya maeneo mengi nchini kuwa kwenye msimu wa mavuno. Hapa chini ni bei za mazao ya...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wakuu na wazoefu wa hii bishara naombeni kupata mawazo yenu kuhusiana na hali ya hii biashara kwa sasa. Nimewekeza mtaji wa karibia 6m lakini kamishen bado nikitoa gharama nabaki na 200k...
7 Reactions
47 Replies
19K Views
Natumai nyote ni wazima wa afya. Wakuu hawa watu wanaoitwa wazungu ni wana kodi hadi kero aisee yan hizi tunazolalamikia sisi ni cha mtoto. Kuna mtu huko marekani kashinda bahati nasibu ya $1.28B...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Kwenu Rais Samia, VP Mpango, Mwigulu, Mafuru, Benki Kuu, Makamba na Mulamula. Kwa Ufupi, Serikali Mlishauriwa na Wabunge kuhusu namna ya kukabiliana na suala la bei za Mafuta kupanda...
5 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF? Naomba mwenye muongozo au ufahamu wa kiwanda cha kuchakata kuku au sehemu kilipo kwa hapa Tz angalau nikapate Elimu ya uendeshaji, Bei za mashine na soko. NB: Kuku ninao...
0 Reactions
4 Replies
943 Views
Ipi huduma bora na nafuu kati ya hizo? Je, DHL huwa wanachaji gharama unapopokea mzigo? Mzigo wangu NI bahasha tu ya documents. Ninaipokea kutoka Afrika Kusini.
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Wasalaam Kama heading inavyosema naomba kujua ni vitu gani vya kuanza navyo kwenye biashara ya spare part za Tv Radio, Computer nk.
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari ndugu wote haswa wajasiriamali wa Dodoma mimi nimtafutaji kama walivyo watu wengine kwa sasa niko Arusha ila mambo huku hayaniendei vizuri kabisha, ila ktk kuongea na watu vijiweni wengi...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom