Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wadau wa JF, Mada hapo imeeleweka bila shaka. Nataka nijitose katika biashara ya mbao baada ya kuhisi itanilipa kwa maoni yangu. Nataka ninunue kutoka mikoa ya Njombe na Iringa na kuzisafirisha...
5 Reactions
53 Replies
13K Views
Nambeni ushari, na uzoefu wenu spea za pikipiki zinalipa? Na changamoto ya hii biashara ni ipi na natakiwa kufanya nini ili nitoboe location Arusha.
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Najiuliza hii hali inayoonyeshwa na mamlaka za baadhi ya nchi za kiafrika kuruhusu wachina kuingia nchi zao, wana syndicate gani na mabeberu? Kwanini wanatamani kusikia watu wao wanaumwa Corona...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari mimi ni wakala nahitaji mwenye machine ya uwakala ya NMB aliepo dar es salaam offer ni 700k kununua na kama mtu anayo basi niko tayari anikodishe ntampa 30% ya kamisheni itakayopatikana...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Karibuni mazulia ya manyoya Fut 5/6 Bei 55,000 Fut 6/6 Bei 65,000 Tupo dar popote tunatuma karibuni
3 Reactions
27 Replies
5K Views
Habari wanajamvi, Kwenye mahangaiko yangu nina viduka kadhaa sehemu mbalimbali mkoani DSM.Ndoto yangu ni kuwa na matawi Dar nzima. Nime-specialize kwenye uuzaji wa Unga wa SEMBE/DONA, CHAKULA...
5 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu naleta swali kwenu, Naomba kuuliza hivi 1).ni sababu gani hasa zinaifanya kampuni Changa kufa Hali yakuwa mmiliki ndie CEO 2). Hivi inatokeaje yaani owner wa kampuni also, ni CEO lakini...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
za mda huu waku hapa, nimekuwa nikiona watu wanafungua office ya kubetisha kama gal sport na nyingine kama hizo, kama kuna mtu anajua taratibu zake za kufata na namna ya kupata faida naomba...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
I did account and finance at University back then few years ago. Apart from living normal life kama ku socializing sana, flirting girls kwa sana nimekuwa every time na fantasize kuhusu maisha ya...
5 Reactions
16 Replies
3K Views
Bila kuzungumzia account za kibenki ambazo compound interest somehow ipo applicable lakini lengo langu ni kuzungumzia kama kuna legally existing plan kwenye taasisi ambayo unaweza kufanya hichi...
3 Reactions
4 Replies
4K Views
Twende moja kwa moja kwenye kisa. Rafiki yangu kaniomba ushauri kuhusu huyu bidada. Huyu rafiki alikodi fremu maeneo yaliyochangamka karibu na soko kwa ajili ya kupika na kuuza supu. Wateja wa...
6 Reactions
23 Replies
3K Views
Natumai mpo salama ma bibi na ma bwana.! Kichwa cha uzi cha husika, nilikuwa na wazo la hii biashauri miaka 3 iliyopita lakini sikulifanyia kazi nalo likafa kwenye akili yangu. Juzi nikiwa mkoa...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari Kwanini taratibu za mikopo ya Halimashauri ambayo inatokana na 10% ya mapato ya halimashauri husika inalazimisha vijana watakaokopeshwa au kwenda kuomba ni lazima waende kivikundi na kuja...
12 Reactions
60 Replies
5K Views
Yeye: habari. Mimi: Salama karibu Yeye : Asante huku aangaza nje ya mabango yaliyo nje ya milango, nakuuliza M-pesa ipo au hakuna. Mimi: ipo unataka ku...? Yeye: Aah sawa ili atoe 15,000...
0 Reactions
4 Replies
978 Views
Kusema la kweli hali mtaani imekuwa hatari, nimeshuhudia biashara nyingi zinafungwa, kuna mshikaji wangu alikuwa na office ya uwakala mitandao ya simu, kafilisika kabisa kafunga banda lake miezi 3...
7 Reactions
47 Replies
5K Views
Habarini wakuu Naomba kwa pamoja tujumuike hapa tupeane idea mbalimbali kuhusu uwekezaji ama biashara hii ya Real Estate tuone tunaweza kufaidika vipi ama kutajirika vipi kwa uwekezaji huu wa...
2 Reactions
0 Replies
823 Views
Wauza maua sasa ni wakati wenu huu ku-export Maua huko Uingereza kufuatia msiba wa Dunia. NB: Air Tanzania badala ya kupakia waombolezaji wasiolipa nauli, pakia maua tukauze London.
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Hili ni wazo simple, kwa mtu simple. Kuna wale watu ambao tayari mjini wanatafuta hela ya kula tu na kulipa kodi, basi hili ni wazo poa kwa ajili yako. Kwakuwa ndiyo unaanza, Nunua maharage...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
“Trading is one of the oldest concepts on the planet and that’s an advantage to your new business. You don’t have to reinvent the wheel. What you have to do now is create a written set of...
3 Reactions
1 Replies
770 Views
Back
Top Bottom