Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,663
I did account and finance at University back then few years ago. Apart from living normal life kama ku socializing sana, flirting girls kwa sana nimekuwa every time na fantasize kuhusu maisha ya baadae nikifika kwenye uzee kama Mungu akinibariki. So katika ku fantasize uzee wangu nimekuwa nikijiuliza sana ni kitu gani hasa kinawatokea wazee ages from 60's na kuendelea maana everytime napokutana na mzee yoyote chances are, most of them are poor.
Haijalishi zamani alikuwa nani, unakuta hata wale ambao walisomaga na kuajiriwa kwenye mashirika makubwa ya serikalini na zamani waliishi maisha mazuri bado most of them wakifika kwenye uzee wanakuwa masikini. Hata kama sio masikini lakini maisha ambayo wanaishi hayana quality ile ambayo mtu unaweza kusema ni good life.
Nlikuwa najiuliza for so long ila i came to a conclusion juzi uski kwamba "they have paid the cost of compound interest" wazee wengi ambao now wana age 60's including my father kwa kipindi cha miaka 30 iliyopita hawakuwa na solid understanding ya hii kitu inaitwa "compound interest" ambayo kwa upande mwingine mimi huwa naiita forecasting the future.
Baada ya kupata hiyo conclusion na kujua the reason behind. Mimi mwenyewe nimedhamiria kabisa kwa dhati kwamba siwezi kuwa failure kama wazee wangu though bado mi ni kijana na bado actually nipo kwenye hustle ya kutoka kimaisha lakini from this day nimeazimia kitu kimoja na kama kuna kijana yoyote atajiskia ku follow this principle nataka kuanza leo a follow while the night is still young.
Ni hivi, from compound interest point of view ambayo nilipata formula juzi usiku na niliielewa sana tu. Nimeweka commitment kwamba kila mwaka nitakuwa naangalia investment yoyote ambayo nataka inipe return ya atleast 10% ya mtaji wangu. Yaani mfano kama nna 2,000,000 kwenye mwaka huu then nikawekeza kwenye kilimo ina maana natakiwa niwe by mwisho wa mwaka nna 2,200,000.
Sasa strategy yangu ipo hivi Kila mwaka ntakuwa na add kwenye portfolio yangu new 2,000,000 na kwa sababu ntakuwa tayari nna strategy ya wapi pa ku invest hiyo hela na kupata return ya above 10% iwe kwenye kilimo, real estate, uvuvi hata huko kwenye mabenki nasikia unaweza pata mpaka riba ya 10%. So ntakuwa nafanya hivo from sasa hivi nna kama around 24 hivi kwa hiyo ntahesabu mpaka 60 years hapo kuna gap kama ya 35 years.
Sasa kwa mahesabu niliyopiga mpaka nakuja kufikisha hiyo age 60 ntakuwa na portfolio kama ya shingi 580,000,000 and by that nafikiri young people will respect me na watakuja kuniomba ushauri pindi ntapoandika kitabu cha mafanikio yangu. Na ntawajibu nini? Ntawaambia kids relax, i just pull 2,000,000 every year to invest and get a return of 10% plus kuwa na discpline.
Sababu wote sio wana mahesabu hapa ntaweka jedwali hilo na nataka uangalie kwa makini ni jinsi gani kila mwaka niliongeza just 2,000,000 kwenye portfolio yangu ya kufikirika.
Years PV Interest 10% FV
1 2,000,000.00 1.1 2,200,000.00
2 4,200,000.00 1.1 4,620,000.00
3 6,620,000.00 1.1 7,282,000.00
4 9,282,000.00 1.1 10,210,200.00
5 12,210,200.00 1.1 13,431,220.00
6 15,431,220.00 1.1 16,974,342.00
7 18,974,342.00 1.1 20,871,776.20
8 22,871,776.20 1.1 25,158,953.82
9 27,158,953.82 1.1 29,874,849.20
10 31,874,849.20 1.1 35,062,334.12
11 37,062,334.12 1.1 40,768,567.53
12 42,768,567.53 1.1 47,045,424.28
13 49,045,424.28 1.1 53,949,966.71
14 55,949,966.71 1.1 61,544,963.38
15 61,544,963.38 1.1 67,699,459.72
16 69,699,459.72 1.1 76,669,405.69
17 78,669,405.69 1.1 86,536,346.26
18 88,536,346.26 1.1 97,389,980.89
19 99,389,980.89 1.1 109,328,978.98
20 111,328,979.00 1.1 122,461,876.90
21 124,461,876.90 1.1 136,908,064.59
22 138,908,064.60 1.1 152,798,871.06
23 154,798,871.10 1.1 170,278,758.21
24 172,278,758.20 1.1 189,506,634.02
25 191,506,634.00 1.1 210,657,297.40
26 212,657,297.40 1.1 233,923,027.14
27 235,923,027.10 1.1 259,515,329.81
28 261,515,329.80 1.1 287,666,862.78
29 289,666,862.80 1.1 318,633,549.08
30 320,633,549.10 1.1 352,696,904.01
31 354,696,904.01 1.1 390,166,594.41
32 392,166,594.41 1.1 431,383,253.85
33 433,383,253.85 1.1 476,721,579.24
34 478,721,579.24 1.1 526,593,737.16
35 528,593,737.16 1.1 581,453,110.88
Tuliza kichwa na usome kwa makini. Strategy above ni ku sacrifice 2,000,000 every year lakini hiyo ni mfano tu kuna hata waajiriwa wana uwezo wa ku pull 5,000,000 per year na you can imagine at the end of year 35 atakuwa na portfolio kubwa kiasi gani chini ya assumption yetu?
Suala ni kwamba haiwezi kuwa exactly baada ya year 35 utakuwa na portfolio yenye networth kiasi hicho ila pia am sure hautakuwa the same na wazee ambao nakutana nao almost kila siku age 60's na ni masikini wa kutupa.
Amua leo kijana mwenzangu, tuanze pamoja leo leo, think about 35 years to come, understand mystery of compound interest while u still young coz if u don't, u will pay heavy price for it.