Habari zenu wanajukwaa,
Ninaombeni nisaidiwe namna ya kurudishiwa hela na Airtel kiasi cha shilingi milioni moja ya kitanzania.
Ishu iko hivi nililipa katika akaunti yao ili nijengewe zile shop...
Jatu PLC imeanza kunuka wizi mapema kabla hakuja kucha tayari wakulima wadogo wanadai hela zao za mazao hawajalipwa kwa muda mrefu huku wakulima wakubwa pia wakidai hela zao.
Bidhaa zimeshuka Bei...
Wadau habarini za Jumapili?
Hapa katikati nilisikia malalamiko kuhusu ukataji wa makato ya benki hivyo nilikua naulizia kama sahivi iko
Maana nilitaka kufungua akaunti ila niliogopa ko naomba...
Habari,
Nina mpango wa kufungua saloon ya kiume, ila ninaomba kufahamishwa au kuongezewa maarifa katika mambo yahusuyo biashara hiyo.
Natanguliza shukrani.
Wadau habari zenu,
Kuna hii Biashara ya kununua na kuuza vifuu ambayo ningependa kuifahamu kuanzia
- Gharama za kununua Kama kwa kilo hununuliwa kiasi gani na kuuza kiasi gani
- Changamoto zake...
Huu utaratibu wa kupangisha frame or nyumba halafu unalipa six/year in advance mi naona kiuchumi haiko Sawa hata kidogo.
Kwa mfano napangisha Leo afu nikulipe hela Hadi ya mwaka ujao it is crazy...
Habari wakuu, naamini mko salama kabisa.
Naomba msaada wa kimawazo na ushauri katika kufungua / kufanya biashara ya Barbershop (Saloon ya kiume) kiukweli sijawahi fanya kabisa hii biashara hapo...
Habari zenu sana jamvii. Nahitaji kufungua biashara ya barbershop ya kisasa eneo nililopo, ingawa zipo saluni ndogo ndogo za kiume kama 6 hivi na barbershop za kawaida tatu na zina nafasi finyu...
Utangulizi: Nakaribisha Mawazo ni mitazamo juu ya hoja hizi, Kwa Watu wote.
1; Vijana wa sasa na fursa zilizopo.
2; Fursa zinazojenga vijana na zinazobomoa maendeleo yao.
3; Maarifa ya...
Habari zenu waungwana,
Naomba msaada wa kujuzwa ni vifaagani muhimu nahitaji ili kuanza kijiwe changu cha ufundi Selemala na bei ya tool husika ili niweze kuandaa badget.
Ndugu zangu wa-Tanzania mambo vipi? Mko poa? Kama jibu ni ndio basi fresh na kama sio basi hakuna tabu, ila ninamachache ya kuzungumza na ninyi then niende zangu.
Nisikilize sasa,
Hakuna kipindi...
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba (kulia) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jijini Dodoma juzi. Wengine kuanzia kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais...
Waungwana natumaini mu wazima na kwa Neema na Baraka za Mungu majukumu yanaenda vema kwa kila mmoja wetu. Kama mambo hayaendi vema kwako usikate tamaa, kesho yaweza kuwa zamu yako ya kubarikiwa...
Wana JamiiForums samahanini kwa usumbufu, Nina mtaji wa million 70 nahitaji kununua gari ya mizigo ili iweze nipigia dili nyingi na nipate nakurudisha fedha yangu kwa haraka.
Ushauliwenu naomba...
Mifuko ya nylons (meupe) iliyokuwa mtetezi mkubwa wa watu, sasa imepigwa marufuku rasmi kutumika kwa madai ya uchafuzi wa mazingira
Hii inatengeneza wigo mpana wa biashara za mifuko mbadala haswa...
Anaonba ushauri, anataka kuchukua mkopo wa mkubwa,je Kwa basic salary hiyo ya 650000 atapata kiasi gani?
Anaonba ushauri na je, atabaki na shilingi ngapi take home kwa muda wa miaka 7?
Asanteni.
Kwa uchache KWA kutizama megaprojects za Zanzibar... Kama
Ujenzi wa uwanja wa cricket wenye Thamani zaidi ya dola mil 30 .
Ukodishwaji wa Visiwa vyake KWA wawekezaji.(Uchumi wa buluu KWA ujumla)...
Habari za muda huu wakuu, ni tumaini langu mko salama. Na mnasongesha gurudumu ili La kila siku ilihali maisha yaenende sawia.
Sipo hapa kuwachosha sana, Mimi nimekuwa ni mpenzi sana na navutiwa...
Nimefanya kazi ya Kutengeneza Matangazo ya Wafanyabiashara pamoja na Matangazo yangu binafsi...
Naweza kukuambia kama Unahitaji Tangazo lako Lifanikiwe au Lifeli
Basi zingatia/usizingatie Vitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.