Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari Wana jamii Naombeni kueleweshwa hili swali nililoulizwa ila sijaelewa maana yake Iko hivi.. niliagizaga mzigo Sasa nilivyoenda kulipia nikakutana na rafiki angu wa zamani kumbe anafanya...
0 Reactions
5 Replies
468 Views
Wakuu kama unasetup ruka nayo hapa ndani watu waburudike TAKE THE SETUP AT YOUR OWN RISK NO ONE IS RESPONSIBLE IF YOU INCURR ANY LOSSES BUT YOU
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Ndugu zangu Kwema? Nimekua nikiagiza vitu nje lakini nimekua nikitumia njia ya Telegraphic Transfer kufanya malipo. Benki yangu imekua ikinikata takribani US$ 50 kama transfer fees. Sasa kuna...
1 Reactions
50 Replies
15K Views
Hi Wadau kuna anaejua hizi Bonds zinafanyaje kazi ? Faida yake ikoje ? Nimeona zinaendeshwa na jamaa wa Imaan Finance, na performance yake ni ya kuridhisha Jee wenzangu na mimi (low class...
0 Reactions
0 Replies
494 Views
Nawasilimu wote [emoji120] Kuna jambo nimekuwa nikitafakari kichwani muda mrefu sasa,ipo hivi kama ilivyo kawaida kila mtu ana njia yake ya kusaka riziki mfano wengine ni waajiriwa wa serekali na...
0 Reactions
7 Replies
606 Views
Mawazo yenu wakuu, yaani nataka tu kuweka security kwenye Jina la biashara yangu hapo baadae ntakapo ianza rasmi. Lakin nmeona moja ya vitu vinavyohitajika ili kusajili jina la biashara ni TIN...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni kwanini Marekani ina viwango vya juu vya umaskini licha ya kuwekeza mabilioni ya pesa kupambana nao? Familia nyingi zenye watoto hutegemea msaada wa chakula cha ziada, Familia nyingi zenye...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za mida hii..?Pole na janga la corona.Tuombe mola wote atunusuru kwa sote.. Niende kwenye mada husika.Wakazi wa Zanzibar na Tanganyika tumekua tukitumia boti za Azam na flying...
4 Reactions
25 Replies
6K Views
Ili biashara ikue na kuingiza kipato zaidi ni bora kufungua branch au kuanza kwa Jina lingine
0 Reactions
7 Replies
902 Views
Natumain u mzima na hujambo Huwa najiuliza je watu wenye apps za kibiashara huingizaje pesa kwa watu kuangalia vidio kwa app zao, au kusoma taarifa? Naombeni kufahamu zaid
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Msaada namna ya kupata kazi kwenye freelancing. Freelancing site ni mitandao ambayo unafungua account na unaweza kuajili au kuajiliwa kufanya kazi za kidigitali (web design, content writing...
3 Reactions
8 Replies
3K Views
Kuna mahali niliwahi ona kampuni ya watu waliojiita wazawa wakitafuta mawazo kwa vijana, mawazo ya kibiashara ambapo hiyo taasisi ilianzisha kwa pesa za watu kwa miradi ya vanilla, na sasa nadhani...
1 Reactions
3 Replies
493 Views
Habari, Ninabiashara ya viungo vya chakula (spices) Iric, mdalasini, pilipili manga, karafuu , nauza kwa kilo nawezaje kupata soko lakuuza bidhaa hizi? Zaidi soma: Wateja wapo wengi, Ongeza...
1 Reactions
14 Replies
17K Views
Wakuu Nimekaa natafakari nianzishe biashara gani ambayo itakuwa unique kwa kiasi fulani na kuniwezesha kupiga pesa bila purukushani na kabla ya ushindani kuwa mkubwa Nimeona nije na wazo hili...
2 Reactions
11 Replies
4K Views
Habari nina mtaji wa milioni 5 naweza fanya biashara gani Arusha ya kuniingizia hela?
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Mambo vipi wakuu kichwa kinajieleza hapo juu nataka kwenda kwenye hiyo biashara. Mada kuu nikujua bwawa la mtera linafanya kazi kwa sasa? Mimi Nipo nje ya nchi Na je mtaji wake wa kuanzia...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari wananzengo!!! Leo nakuja na hili wazo la biashara la 'online shop' Kumekuwa na changamoto nyingi, hasa za kupata fremu ya duka maeneo mbali mbali. Na ikipatikana, bei inakuwa juu...
4 Reactions
3 Replies
3K Views
Serikali imetaja hatua nane zilizochukuliwa katika kudhibii mfumuko wa bei ili kuhakikisha unaendelea kubaki ndani ya wigo wa tarakimu moja. 1. Imeimarisha sekta za uzalishaji ili kuongeza...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Na Tom Wanjala Ripoti kuhusu ufanisi wa mradi wa reli mpya ya kisasa ya SGR nchini Kenya kwa mwaka uliopita, imetolewa rasmi na ofisi ya takwimu ya kitaifa ya Kenya (KNBS). Kwa mujibu wa ripoti...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nina kazi mwisho saa Tisa na nusu nataka niwekeze kwenye biashara ambayo kwanza nitaisimamia mwenyewe peke yangu niweze kuona Hasara na faida hata Kama nikijitia Hasara nisababishe Mimi muhusika...
4 Reactions
16 Replies
5K Views
Back
Top Bottom