Je una changamoto ya kuandaa mahesabu?
Je unapata shida ya kuwasilisha kodi kwa wakati?
Fatilia huu Mkasa
John alikua mfanyabiashara maeneo ya kariakoo alikua na tatizo la jinsi ya kuandaa...
Kwa wanaouliza app inaitwa 'Spending'
Na unaweza kuweka mapato pia na mwisho ndani ya mwez ukajua kama umeingiza au umekula mtaji
Kuna msemo
"Biashara bila Budget utawalalamikia wachawi na chuma...
Habari wana Jamii Forums,
Changamoto iliyopo mtaani sasa hivi ni tatizo la kupata wateja na kuongeza mauzo kwenye biashara limekua ni swala gumu sana, jobless wengi wanaanzisha Biashara na...
Habari wanajukwaa hili la biashara!
Nimekuja kwenu mnisaidie hatua za kufuata kabla sijafungua biashara nataka nifungue duka ambalo nitauza bidhaa zifuatazo Vipondozi aina zote, vitenge, madera...
Naomben msaada, mimi sijawahi kufanya biashara yoyote ile. Nimemaliza kidato cha nne 2019 na nilikuwa nasoma chuo lakina nimesitisha kwa sababu mbalimbali.
Naombeni msaada wenu, nina mtaji wa...
Habari, Asee Samahani Anaejua Machimbo mazurii Ya Nguo Haswa Zile zinazopendwa Na wanachuo Kwa Dar[emoji120]
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Sikuzote njia ya ushindi katika maisha ni kutokata tamaa.
1) Amka na kuwa makini katika kila jambo utalofanya ila liwe la kukuengezea uchumi.
2) Usikubali kukatisha tamaa, maisha bora yanahitaji...
Kuna hii biashara ya kununua vitu vilivyotumika,kwa mfano vitanda,masofa viti ndoo,milango ya aluminium, mbao, mazulia, na zingine kibao hii imekaaje, kuna waliokwisha ifanya, mtaji kiasi gani kwa...
Wanyonge wenzangu huko mkoa uliopo bei ya cement ikoje? Mimi huku nilipo Cement ya dangote 23000/mfuko na twiga ni 25000/mfuko. Bei ya Dangote kutoka 18500 mkapa 23000. Mnyonge mnyongeni lakini...
Habari JF,
Kwa upande wangu nafahamu kuwa biashara ya bolt ipo maeneo yenye mkusanyiko mkubwa.
Kwa sasa kuna katazo la kuingia Mjini kwa Bajaj na bodaboda.
Wazoefu naomba ufafanuzi juu ya hilo...
Nina mtaji wa kutosha lakini ninataka nifanye biashara ya underwear za kike sasa naitaji mtu ambae anaijua vyema biashara hii aweze kutoa mrejesho wa biashara hii.
Kuanzia faida hasara na...
Hakikisha kila unachofanya ni maendeleo kwako badae. Acha kuchoka mapema, jiangalie wangapi wapo nyuma yako wanakutegemea wewe. Usichoke muombe Mungu huku ukizidi kupambana.
Hata jiwe huvunjwa...
Wanabodi,
Kwanza angalia, kisha ndio tuzungumze
Hii taasisi ya TradeMark East Africa, (TMEA), ambayo siku zote imekuwa ikifanya mambo makubwa kimya kimya, imeendelea kufanya makubwa nchini...
Mi nafikili vijana tukijikita kwenye kilimo na bishara tutatoka kiuchumi mi Leo nataka niwape vijana wenzangu Elimu kidogo kuhusu kilimo cha vitunguu swaum. Mm nauzoefu wa mika9 sasa wakulima na...
Vijana tulio wengi mara nyingi tunakwama sana kwenye biashara kutokana na kupeana mawazo ya maandishi na siyo ya mazoezi unakuta vijana wengi tunakuwa na mitaji ambayo kweli tuki isimamia vyema...
Salam wana JF,
Kuna huu msemo usemao "Siri za biashara". Je, mfano wa siri hizo ambazo haziwezi kujulikana katika ulimwengu huu ambao upo uchi katika kila sekta ni zipi?. Yaani siri ambazo mtu...
Ijumaa mubaraka.....
Mjini hapa mambo ni mengi muda ni mchache sana.hili jiji lina kila aina ya mambo.
Niende kwenye ajenda.
Katika harakati zangu za kutafuta kabiashara kakukidhi mahitaji ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.