Biashara ya catering services ni moja ya biashara zenye fursa nzuri, hasa kutokana na kuongezeka kwa sherehe, harusi, mikutano, semina, birthday, mahafali na matukio mbalimbali. Hata hivyo, ili...
Habari wakuu,
Kumekuwa na mwamko mkubwa wa uwekezaji nchini, ambapo watu wengi wameanza kuwekeza kwenye Hisa (Shares) na Hatifungani (Bonds). Hata hivyo, bado kuna maswali mengi kuhusu tofauti...
Biashara ya bakery ni miongoni mwa biashara zenye soko kubwa kwa sababu bidhaa kama mikate, keki, maandazi, biskuti, doughnuts na vitafunwa vingine vinahitajika kila siku. Hata hivyo, mafanikio...
Disclaimer (cha kuzingatia): This is not a get rich quick scheme (hauto tajirika ghafla ndani ya masaa au siku kadhaa), imenichukua mwaka kufikia wakati ambapo naweza pata faida ya millioni moja...
Acheni kujibanza kwenye kisingizio cha uzawa, wateja wanachotaka ni kupunguza ukali wa maisha.
Tunachotaka kukiona ni ladha ya ushindani wa kibiashara, haiwezekani kitu ya tsh elf 5 unauziwa...
Kwa kijana mwenye umri wa 22yrs mwenye mtaji wa 3.5M apa mjini dsm ungemshauri ajikite kwenye biashara zipi zinakazomfanya atoboe kimaisha baada ya miaka michache?
Wakuu nisizunguke sana, naomba mawazo yenu namna naweza kupata mtaji nahitaji Million 5.5 niweze ifanya kama mtaji wa biashara ila sijui naanzia wapi kwa sababu sina assets wala sikopesheki...
GHOROFA INAUZWA
LOCATION MTONI KIJICHI BEACH
⛱️ DOCUMENTS HATI TITLE DEED
VYUMBA 5 VYA KULALA
VYUMBA VYOTE NI MASTERS BEDROOM
BEI NI TSH 1.3b/- MAONGEZI YAPO
UKUBWA WA ENEO NI SQM 2700...
Nimuda mrefu Tangu niweke andiko katika jamvi na jukwaa hili.Hii ni kutokana na changamoto na Purukushani za Maisha.Najua umekuja kwenye huu uzi haraka kwa sababu ya Kichwa cha Uzi.
Lengo la UZI...
Habari zenu Wanabodi?
Natumai mpo vizuri,
Niingie kwa mada, Kumekuwa na hizi SMS za mitandao ya simu wakituma Kiasi cha fedha ktk akaunti ya mtumiaji wakidai ni gawio, mara nyingi binafsi huwa...
Habari,
Kuna kero kubwa sana inayozidi kuongezeka kwenye sekta ya usafirishaji hapa Tanzania, hususan kwa madereva wa malori makubwa.
Kama transporter, serikali inaweka masharti makubwa...
Katika maisha ya sasa, wazazi wengi hutumia muda mwingi kazini, kwenye biashara au katika shughuli nyingine za kila siku. Hali hii imeongeza uhitaji wa sehemu salama ambazo watoto wanaweza kukaa...
Pata nyaraka zenye viwango vya kimataifa sasa!📄 Kwa kuandaliwa:-
1. Business & Project Proposals Miradi: Kituo cha yatima (Orphanage), Usafi wa mtoto wa kike (Girls hygiene), n.k.Lengo: Kuomba...
Awali ya yote ashukuliwe Mungu Mkuu atoaye pumzi na afya.
Wadau najua wataalamu na wafanyabishara wamo humo ndani naombeni ushauri kama nilivyoeleza hapo juu kuwa kipato changu na nahitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.