Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Hii ni bondi (hati fungani) ya kwanza kabisa ya Shilingi ya Tanzania kutolewa kwenye soko la hisa la kimataifa. Lakini hii si bondi ya kwanza ya IFC (IFC ni miongoni mwa taasisi za kifedha zilizo...
1 Reactions
4 Replies
175 Views
Biashara ya vinywaji inaweza kuwa chanzo kizuri cha kipato kwa sababu bidhaa zake hutumiwa kila siku kwenye nyumba, ofisi, migahawa, sherehe na mikusanyiko mbalimbali. Hata hivyo, ili biashara hii...
0 Reactions
2 Replies
419 Views
N.B: Ninachozungumzia hapa ni biashara zetu wabongo. biashara zetu humtegemea sana mmiliki wake kiasi kwamba asipokuwepo hata mwezi 1 tu nazo huanza kudorora. ni tofauti na Wahindi au Waarabu...
6 Reactions
34 Replies
790 Views
Habarini wana JF. Baada ya kuwa kimya katika kipindi kirefu nimeona sio mbaya nije kushare mengi kuhusiana na hii field ili tuweze kukomboana kwa wale watavutiwa na hili hasa kwa mikoa yetu hapa...
22 Reactions
260 Replies
42K Views
Naomba kuuliza kama Kuna watalaamu wenye idea na hii biashara mana napenda Sana.
1 Reactions
4 Replies
464 Views
Kama una kipato au kazi ambayo inaweza kuingiza kipato kuanzia milioni 50 kwa mwaka, weka hapa ni kazi au biashara gani ili watu wajifunze. Au mtu afanyaje aweze kufika huko ikiwa ni hatua ya...
6 Reactions
20 Replies
854 Views
Kuna tofauti kubwa kati ya kujiajiri na kumiliki biashara, lakini mara nyingi tunavitumia kana kwamba ni kitu kimoja. Wabongo wengi hatuna biashara bali tumejitengenezea ajira (tumejiajiri)...
1 Reactions
3 Replies
127 Views
Ninaomba msaada kwa yeyote mwenye kufahamu minada ya mbuzi na kondoo inayopatikana katika maeneo ya Arusha, Morogoro, Geita, Shinyanga, Moshi na Manyara. Pia nitashukuru sana kama mtaweza...
12 Reactions
45 Replies
1K Views
Biashara ya vipodozi inaweza kuwa na faida kubwa kwa sababu bidhaa za urembo hutumiwa kila siku na wanawake, wanaume, saluni pamoja na wataalamu wa makeup. Hata hivyo, mafanikio yake yanahitaji...
0 Reactions
2 Replies
439 Views
KUNA VITA KUBWA INAYOENDELEA NDANI YA AKILI YA KILA KIJANA... 1. Wengine wanaamini hawawezi. 2. Wengine wanasubiri ajira. 3. Wengine wanaogopa kuanza. Lakini ukweli ni huu... Maisha hubadilika...
1 Reactions
0 Replies
97 Views
Wakuu, katika harakati zangu za biashara, nikakutana na kampuni B mtandaoni. Kutokana na bidhaa zao walizozichapisha kwenye ukurasa wao, ziliweza kunivutia sana na kunishawishi kufanya nao...
0 Reactions
17 Replies
269 Views
nawaonea huruma sana vijana wanaombana kutafuta mtaji kujichanga kulipia frem ni ngumu kutoboa mlitutafuta kwenye mabango watu wakachomoa now maandishi ya duka tu yalioko ukutani tena madogo...
14 Reactions
43 Replies
953 Views
Habari za asubuhi huku tukiendelea na vita lazima maisha yaendelee Tuamke kuinua uchumi unaoanguka nahitaji kujua kama umewahi kukutana na hii biashara ya kukodisha mtambo wa kuchanganya zege Tena...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
habar za mda huu wadau wote wa sekita ya madini Kama nilivyotangulia kusema hapo juu nahitaji muwekezaji katika uchimbaji wa dhahabu mkoan singida nina lesen pml kuna maduara tayar udhalishaji ni...
2 Reactions
4 Replies
775 Views
Anonymous
Naomba kuwasilisha tatizo lililopo mtandao wa simu Airtel, kuna Meneja wa Operesheni ni Mnigeria ananyanyasa sana wazawa Watanzania, anatumia lugha za udhalilishaji pamoja kutishia kufukuza kazi...
4 Reactions
5 Replies
196 Views
Habari! Mimi ni Dereva mzoefu na nimeendesha Gari kwa miaka mitano Sasa Bila kupata Ajali, Natafuta Gari ya mkataba Au Hesabu kwaajili ya kutumia kama Uber na Bolt. Akaunti ya Bolt ninayo, Pia...
0 Reactions
1 Replies
207 Views
nawaonea huruma sana vijana wanaombana kutafuta mtaji kujichanga kulipia frem ni ngumu kutoboa mlitutafuta kwenye mabango watu wakachomoa now maandishi ya duka tu yalioko ukutani tena madogo...
12 Reactions
27 Replies
1K Views
Jeans ni moja wapo ya vazi linalopwenda zaidi na jinsia zote hasahasa Jen Z kwa trend ya hivi karibuni Kwenye kuchagua bell la mtumba wa jeans huwa unazingatia nini ili kuzuia kupigwa au kuuziwa...
1 Reactions
3 Replies
152 Views
Sisi wafanyabiashara wadogo wadogo wa Manispaa ya Musoma tunatoa wito kwa Serikali, TAMISEMI na viongozi wa Manispaa kuingilia kati suala la ongezeko la ushuru wa kila siku kutoka Shilingi 200...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nawaonea huruma sana vijana wanaombana kutafuta mtaji kujichanga kulipia frem ni ngumu kutoboa mlitutafuta kwenye mabango watu wakachomoa now maandishi ya duka tu yalioko ukutani tena madogo...
1 Reactions
3 Replies
291 Views
Back
Top Bottom