Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Kwa anayefanya biashara atakuwa amenielewa hasa wale ambao wana biashara inayohusisha delivery Naishia hapo nisiongee mengI
8 Reactions
15 Replies
408 Views
  • Redirect
MGODI UPO TANAGA MAENEO YA MSATA 1) HEKA 60 2) LESENI ZIPO 7 3) LESENI 5 ZIPO 4) LESENI 2 BADO 5) SCAVETOR ZIPO 2 6) WHEEL LOADERS 2 7) KUBWA 1 8) NDOGO 1 9) SHANTING TRUCK 2. 10) DRILLING...
0 Reactions
– Replies
– Views
Kazi ninayofanya inanipa take home ya takriban 500k - 800k per month sasa nahitaji kusave hadi nifikishe kiasi cha sh 25mil kwa ajili ya kutimiza lengo langu (lengo kapuni). Mwaka jana nilijaribu...
18 Reactions
135 Replies
4K Views
Ndugu zangu wa jamiiforum nimeona nisiwaache bila kuwapatia zawadi nzuri member wa jamiiforum na Leo nahitaji mwenye wazo zuri la biashara atoe hapa jukwaani atumbie nikimpa milioni 500 atafanya...
4 Reactions
21 Replies
449 Views
Leo tawi hapa, kesho tawi pale, mkoa huu, wilaya ile. Kwa mwendo huu, ukirusha jiwe linaweza kuangukia tawi la Azania. Hongereni Benki ya Azania, mwendo ni kasi kweli!
5 Reactions
6 Replies
291 Views
Leo nimeenda CRDB tawini kwao, kwa sababu ya changamoto ya ku-login kwenye app yao ya SimBanking na kupata card. Nikawapa 5000 cash , ila chakushangaza ni baada ya masaa 3 nikiwa mbali na bank yao...
4 Reactions
10 Replies
262 Views
Anonymous
Waingizaji wa mizigo kutoka nje ya nchi tunaendelea kukabiliwa na changamoto kubwa kutokana na kuchelewa kwa mfumo wa TBS kutoa Control Number. Kwa mfano, ombi langu liliwasilishwa tangu Jumatano...
3 Reactions
3 Replies
235 Views
Kwa wenye uzoefu wa biashara tu. Siku moja amka anza kufanya biashara anayofanya boss uone kama mtakuwa sawa tena Siku moja anza biashara fulani usikilizie kama mapapa wa biashara hiyo...
1 Reactions
6 Replies
244 Views
SIFA ZAKE: HP E Lite Book Internal Hard Disk storage: GB 500 RAM storage: 8GB Processor: 1.50GHZ Price Tsh 195,000/= Mawasiliano: 0798434285 🚫 Battery yake imeshakufa hivyo kutumia ni mpaka...
1 Reactions
3 Replies
202 Views
Anonymous
KERO YANGU KUHUSU HUDUMA ZA BRELA – IDARA YA USAJILI WA MAJINA YA BIASHARA Niliwasilisha ombi la usajili wa jina la biashara kupitia mfumo wa BRELA kwa kujaza fomu pamoja na viambatisho vyote...
2 Reactions
8 Replies
309 Views
Wadau Salaam! Ninahitaji mashine ya kutengeneza sabuni za miche pamoja na mixer angalau ya lite 200. Mwenye nayo au mwenye uelewa naweza ipata wapi naomba anisaidie kwa kunitumia ujume PM...
3 Reactions
10 Replies
501 Views
Anonymous
Mimi ni mmoja wa wafanyabiashara nilipangishwa na manispaa ya musoma tangu mwaka 2018. Tumekua tukifanya shughuli zetu na kolipa kodi stahiki bila shida hadi ilipofika mwaka 2023 changamoto za...
0 Reactions
0 Replies
598 Views
INTRODUCTION. Mr. Liverpool kwa maisha ni mfanyakazi, mfanyabiashara na mmiliki wa vipande kwenye mutual fund.. Nasoma(ga) sanaa watu humu wanasifia FOREX, Mutual Funds (hasa UTT), Government...
106 Reactions
551 Replies
37K Views
Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam yamewezesha kufanyika kwa mauzo ya papo kwa papo yenye thamani ya shilingi bilioni 3.9 huku zaidi ya asilimia 61 ya waoneshaji wakipata...
4 Reactions
11 Replies
547 Views
Wanaharakati wa mazingira nchini Kenya wametoa wito kusitishwa kwa ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha bilionea Aliko Dangote, kwa madai kinaweza kuhatarisha mazingira. Mradi huo wenye...
1 Reactions
14 Replies
348 Views
Anonymous
Sisi wakazi wa Kijiji cha Patamela, Kata ya Saza, Wilaya ya Songwe, Mkoa wa Songwe tuna changamoto kuhusu mwekezaji ayetambulika kwa jina la Mathayo, ni kuhusu kumiliki eneo kubwa la uchimbaji...
2 Reactions
6 Replies
339 Views
  • Featured
Biashara kuuza genge ni biashara moja nzuri sana. Kinachofanya watu wengi wasifanikiwe ni ile kuwekeza mtaji mdogo sana. Imagine mtu anaanzisha biashara ya genge kwa mtaji wa elfu 80 sasa mtu...
16 Reactions
44 Replies
30K Views
Wakuu samahani naomba mtu yeyote aliyewahi kukutana na changamoto yoyote katika suala lolote linalohusiana na Huduma za TRA aandike hapa,itapendeza zaidi ukifafanua ugumu ulikuwa wapi,? Zaidi...
3 Reactions
42 Replies
1K Views
Wakuu, Maisha bila kujilipua hayaendi. Kifupi kama unanifuatilia nilijichanga UTT AMIS na kuweza kupata kiasi cha 60ml sasa nimetoa hiyo hela yote na kununua hisa za CRDB. Kifupi, liwalo na liwe...
68 Reactions
638 Replies
46K Views
Back
Top Bottom