Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wakuu Habari, Kama heading inavyosema, nahitaji watu wa kushirikiana nao katika utekelezaji biashara ya madini aina ya dhahabu. Biashara hii nimeifanyia utafiti wa masoko hasa Dar es Salaam na...
7 Reactions
20 Replies
4K Views
Habari, Naamini Kupitia uzi huu watu wengi Sana tutakwenda kunufaika Kupitia majibu yatakayotolewa katika swali langu: Naamini kwa wakaazi wengi wa Arusha -Moshi, Zanzibar watakuwa ni shahidi wa...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Kama nilivoandika hapo juu anayeajua ratiba za hii MINADA inayokuwepo ndani ya hii MIKOA naomba anisaidie na maeneo inayo patikana na siku gan ndan ya wiki. Hasa Dodoma 🙏🙏🙏🙏
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Kwa yeyote mwenye connection na Soko linalo jengwa nyuma ya bus station ya kuelekea Kitunda (maeneo ya ukonga banana), tafadhari anisaidie mawasiliano na wahusika.
2 Reactions
0 Replies
433 Views
Nimefanya huduma ya uwakala wa CRDB kwa takribani miezi 8 sasa na hizi ndio kero zangu; Kero nyingi ziko based na ubovu wa mtandao/Customer Care Sijajua kama tatizo ni hizi machine mpya...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Mtazamo ni picha/tafsiri tunazojenga katika fikra zetu kuhusiana na watu, vitu, mawazo, vitendo n.k. Mtazamo ni kipengele muhimu sana katika mchakato wa kutafuta ufadhili, na kila mhusika katika...
1 Reactions
0 Replies
436 Views
Wadau Habari Za Muda Huu. Natumaini Nyote Wazima Wa Afya. Nahitaji Ushauri Nilikuwa Nina Wazo La Kufanya Biashara Ya Kukopesha Watu Fedha Kwa Kwa Riba Ya 20% Kwa Wafanyakazi tu na Sio...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Wadau karibuni tupeane fursa mbalimbali mtaani na hata kwenye mitandao ili tuweze kusogeza siku na kupeleka mkono kinywani. Binafsi nina fursa mbili ambazo huwa nazifanya napata angalau kamshiko...
3 Reactions
14 Replies
4K Views
Nishaurini mliopo ktk kilimo Cha Tumbaku. Nataka kulima mwaka huu
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari, Mimi ni mfanyabiashara , nina duka la rejareja( fremu) na store, nipo mabibo Dar Nahitaji kununua Mchele na maharage kutoka mbeya, au tunaweza kufanya makubaliano ya kukuuzia maharage...
4 Reactions
11 Replies
4K Views
Kujiajiri bila mtaji inawezekana, lakini mara nyingi inahitaji kujitolea, ubunifu, na bidii ili kufanikiwa. Kutumia Ujuzi wako: Tumia ujuzi na uzoefu ulionao kufanya kazi au kutoa huduma kama...
6 Reactions
50 Replies
4K Views
Wadau wenzangu ninatatizo limekuta mwenye uelewa naomba anisadie nina duka lipo mjini mwanza linafanya biashara ya rejareja, Juzi nimepigiwa simu TRA mwanza kwamba ninadaiwa kodi nikaombwa...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Wazoefu tufahamishane yafuatayo kuhusu biashara ya asali mbichi: Ipi njia ya kuifahamu asali nzuri? Upatikanaji wa asali, wapi inapatikana nzuri na kwa wingi? Bei ya kununua kwa mzalishaji sh...
5 Reactions
37 Replies
12K Views
MBUNGE NDAISABA RUHORO - UZENI KAHAWA KWA BEI ILIYOPO ILI KUEPUKA HASARA Wakulima wa kahawa Wilaya ya Ngara mkoani Kagera wamemtwisha Mbunge wao zigo la kuwasaidia kutatua tatizo la kuporomoka...
0 Reactions
0 Replies
669 Views
Ninataka kufungua Driving school maeneo ya Boko, Dar es Salaam nina nyumba ambayo nitaifanya ofisi na baadhi ya vyumba nitavitumia kama madarasa kwa ajili ya wanafunzi. Vitu nilivyonavyo: 1...
1 Reactions
2 Replies
6K Views
Wana JF naomba kufahamishwa taratibu za kufuata kuanzisha shule ya kufundisha madereva(Driving School) hapa nchi. Kama ifuatavyo. 1. Ni mamlaka gani inatoa usajiri 2. Idadi ya chini ya magari...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Natumaini hamjambo, na wengne mnajitahidi allah atufanyie wepesi katika afya na maeneo yetu ya ridhiki. Kimsingi nataka kujarbu kufanya biashara ya bodaboda, nimejarbu kufanya tafiti ndogo...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
WAZIRI JENISTA MHAGAMA ASEMA SERIKALI KUJENGA MASOKO MATANO YA MAZAO HALMASHAURI YA SONGEA Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) Peramiho awaomba...
1 Reactions
3 Replies
547 Views
Habari wanajamii wenzangu. Je, ukipata hela ni wazo lipi bora kulifanya kati ya mawazo yafuatayo? 1. Kununua kiwanja au viwanja kwaajili ya uwekezaji wa baadaye. 2. Kufanya biashara ya mazao...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Inahitajika kifaa cha kutunza pesa na nyaraka zikiwa sehemu salama (Safe). Naomba kufahamu: 1. Kinachofaa (kilicho bora) kina sifa zipi? 2. Bei yako ikoje? 3. Kinapatikana wapi? Ikiwezekana...
4 Reactions
1 Replies
975 Views
Back
Top Bottom