Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Hizi ni gauni za mtumba zipo tegeta Kibo, zilikuwa dukani ila duka limefungwa kwa sababu mhusika anahamia mkoani. Kama upo serious karibu uje uzione. Kuna gauni zaidi ya 60. Bei hiyo ni kwanzia...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
INTRODUCTION Dah, mwaka huu nimechelewa kuingia Nanenane Mbeya. Badala ya kuingia tarehe 30/07 ""as usual"" ila mwaka huu nimeingia juzi tarehe 02/08/2023. Ila haina mbaya, Kazi iendelee. BODY...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari za Jumapili wakuu! Napenda tujuzane mahali pa kupata mikopo kwa njia ya simu. Binafsi nimekuwa mnufaika mzuri wa mifumo hii ya ukopeshaji kwa njia ya simu. Nimekuwa mteja wa makampuni...
7 Reactions
117 Replies
58K Views
Habari Wakuu, Nakusudia kununua ka gari ili nianze biashara ya kutoa huduma ya usafiri(uber,bolt nk) Je nikiwa na driving license class D nitaweza kukubalika au ni mpk niwe na class C3 kama...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Habarini ndugu zangu nimekuja kwenu nahitaji ushauri nina milioni 5 nahitaji kufanya biashara moja kati ya hizo. Je, ipi inaunafuu wa kuniingizia kipato kwa urahisi zaidi, changamoto za...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Salamu ndugu wa Jukwaa. Nimepata wazo la kufanya biashara ya kununua vitu vya ki electronics ikiwemo SIMU, TV, FLASH, CHAJI, PROTECTOR ZA SIMU kwa bei ya jumla kutoka nchi tofauti (kampuni) yaani...
1 Reactions
10 Replies
5K Views
Ni hivi nimepata kazi yakumtangazia mtu kazi yake so nikaanza mwanzo niliuza bidhaa mbili . Ila sasa hivi hata moja siuzi wateja waliokubali kufanya na mimi wanadai bidhaa nzuri ila kukubali na...
9 Reactions
88 Replies
4K Views
Mambo vipi wana jf habari zenu mko poa nyote, natumaini hamjambo? Sasa twende kwenye jambo langu? Nipo nimewaza sehemu nilipo mkoani hapa nimewaza biashara ambayo nimeona kwa hapa kama itanifaa...
2 Reactions
7 Replies
900 Views
Manispaa ya Songea inashindwa kutoa leseni za biashara kwa wakati, kumekuwa na tatizo hilo yapata mwezi sasa wafanyabiashara wanalalamikia Ofisi ya Afisa Biashara Manispaa ya Songea kushindwa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kumetokea Kasumba ya Watengeneza Sera kuwa Wauza Sura na Wapiga Brah Brah; Kama vile walivyo wapiga ramli wanatafuta mchawi kwa kuwaambia wadau makosa ni yao kwa kutokufanikiwa... Wanasema kila...
2 Reactions
4 Replies
967 Views
Nahitaji Kasha/sanduku la kutunzia pesa na nyaraka ofisini )Office safe) iliyo imara na yenye bei nzuri. Nipo Ngara Kagera.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Hello natumai wote ni wazima kabisa na wa afya iliyo bora kabisa, Jamani mimi nataka nijue haswa biashara ya madini ya dhahabu ni shilingi ngapi kwa gram1? Na je ukiwa na 3million unaweza kuianza.
1 Reactions
77 Replies
22K Views
Kwema wakuu? Naomba kuuliza; Je, ninaweza kufungua akaunti ya CRDB kwa kutumia cheti cha kuzaliwa bila namba ya NIDA?
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Ndugu zangu habari za leo? Bila shaka nyote mko salama, wale walio na magonjwa au shida mbalibali mwenye enzi Mungu awafanyie wepesi. Ndugu zangu ninaomba kufahamu kuhusu ushuru wa boat ya uvuvi...
3 Reactions
3 Replies
568 Views
Mtaalamu wa kushauri muundo mpya wa kampuni na namna ya kuendesha kampuni kisasa. Njoo na quotation yako 0755789225
1 Reactions
2 Replies
660 Views
Kuna dogo mmoja yupo Hapo sinza kwa remmy dukani kwake Kuna t-shirt kama 12 Lakini analipa Kodi laki 3 kwa mwezi, kiukweli mjini ingia na yanayokuhusu yasiyokuhusu achana nayo. Hapa frame ni...
9 Reactions
145 Replies
20K Views
Nina mtaji wa laki 8, inatosha kufungua biashara ya duka na nikapata kukidhi mahitaji yangu na maendeleo kwa ujumla? Naombeni Ushauri Wana jf kwenye suala hili
0 Reactions
52 Replies
17K Views
Jamani nilifungua kampuni kwa shughuli za uvuvi na shughuli nyingine lakini lengo ilikuwa kufanya shghuli za uvuvi na uuzaji wa bidhaa zitakanzo na uvuvi, lakini mwezeshaji alizingua. Ushauri...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
WAZIRI DKT. ASHATU KIJAJI - SERIKALI HAIKO TAYARI KUKWAMISHA WAFANYABIASHARA NA WAWEKEZAJI KUFIKIA MALENGO YAO Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amesema Serikali inatekeleza...
0 Reactions
0 Replies
570 Views
Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) atembelea Kiwanda cha Magodoro cha TANFOAM kilichopo Jijini Arusha kujionea shughuli za uzalishaji magodoro na kisikiliza changamoto...
1 Reactions
0 Replies
369 Views
Back
Top Bottom