WANGAMBA
Member
- Jul 21, 2022
- 64
- 94
Wadau wenzangu ninatatizo limekuta mwenye uelewa naomba anisadie nina duka lipo mjini mwanza linafanya biashara ya rejareja, Juzi nimepigiwa simu TRA mwanza kwamba ninadaiwa kodi nikaombwa nitumiwe contor namba maana huwa sepindi vipengere na selikari makodilio niliofanya mwenyewe 03/03/2023 nilikadiliwa 520000 kwa mwaka tena kwa kulia sana sasa cha kushangaza baada kuingiza contro no. inasoma laki na 8 na ushee kwa kila awamu zilizobaki nikashindwa kulipa lak 8 na ushee kwa kila baada ya miezi 3 na
Awamu ya kwanza nimelipa 138250 mpka laki nane ghafla tu nimeenda kuuliza naambiwa wamekadilia kulingana na mauzo ya mwaka jana 73,250,000 ambayo ni mauzo ya sh 203,000 laki 2 na sh elfu 3000 kwa siku najua kuna biashara nyingi hata za mtaan zina haya mauzo ,sasa kwa mauzo ya laki 2 yenye faida 15000-20000 mtu unawezaje kukasiliwa laki 8 wakat faida hapo 20000x30x3=1,800,000/=
Ulipe kodi — 800,000/=
Jaman huu mbona utumwa wa wazi wazi na ukimuambia afsa TRA kwamba si mnataka nifunge biashara anakujibu funga kwan itakayotesa ni familia yangu au yako me mshahara wangu uko pale pale kweli jaman tunaelekea wap