Shindano bubu la Tsh.10,000,000/=

Shindano bubu la Tsh.10,000,000/=

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2017
Posts
1,435
Reaction score
1,626
Habari Tanzania !..

Wewe kijana ukipewa kiasi cha pesa Tsh.1,000/=. Ukaambiwa ndani ya siku 7 uifanyie uzalishaji hiyo pesa kwa zaidi ya mapato ya Tsh.100,000/= utaweza!?..

Endapo ukiweza kuzalisha hiyo pesa utapata kiasi cha Tsh.10,000,000/= taslimu bure kabisa. Uweze kuendeleza kile utakachokuwa umekianzisha na zaidi.

Karibu.
 
kwanza utajuaje kuwa nimetumia 1000
 
Hiyo buku mimi nanunua vocha dakika kama zote. Nampigia Masalu Jacob anikopeshe 20k, binti kiziwi nampanga fresh 30k naipata toka kwake, MIN-me akinipa 30k, hiyo iliyobaki leo dada anajazia tayari laki mnipe hiyo 10m nitoe 1m wagawane kesi kwisha. Na hata wiki haitasha.
Hahahahaaa... mkuu nakukubali unapiga kama mastermind....
 
Hahahahaaa... mkuu nakukubali unapiga kama mastermind....
kichwa bado fresh hakijaingia funza. Afu ujue mim ni milinia sio gen z, na kwa kawaida sisi ndio vichwa kila kitu unafanya kwa kutumia kichwa chako sio sasa hivi hadi AI mnaletewa iwasaidie coz vichwa empty.
 
kichwa bado fresh hakijaingia funza. Afu ujue mim ni milinia sio gen z, na kwa kawaida sisi ndio vibwa kila kitu unafanya kwa kutumia kichwa chako sio sasa hivi hadi AI mnaletewa iwasaidie coz vichwa empty.
AI ina impact kubwa... ila na negative impact zipo¡¡¡ ngoja twende nayo hivohivo yanini kujitesa...
 
Yani bila kuweka hiyo buku Kwa kanji Sina hakika kama Kuna pengine otherwise uwatafute wale jamaa walioanza na nyoya Moja la kuku saiv wanamiliki kuku 20,000.
 
Back
Top Bottom