Huku wengine tukijitamba kuweza kufika mpaka vyuoni na kuona tuna bahati kwa kupenya kwenye system kuajiriwa na kupokea mishahara ya milion 1.xx, Najiuliza mara mbili mbili nafanya kitu gani na...
Kama kichwa cha mada mie mdau nimebangaiza kitaa nina 4m hapa nataka nifanye biashara ya uwakala wa pesa kwa simu na mabank, natafuta frame ya kufanyia biashara hiyo iliyopo maeneo yalochangamka...
Prof. Muhongo Ataja Kazi Zinazohitajika Duniani: Software developer, Data scientist, Information Security Analyst, Nurses, Management Analyst na Artificial Intelligence Specialist.
Mbunge wa...
Biashara ni siri..aisee usitoe code kabisa
Mimi kuna biashara nilikua nafanya 7years back sasa bana nikampa code wife...wife ana rafiki yake si ampa siri yote!
Nakuja ingiza mzigo sokoni aisee...
Serikali imetoa wito kwa Watanzania kuwekeza zaidi katika viwanda vya maziwa nchini kutokana na kutolewa kwa kodi nyingi katika viwanda vya bidhaa hiyo pamoja na kuwepo kwa soko la ndani na nje ya...
Habari zenu jukwaa la biashara, nina duka nilifungua mwaka jana kuna rafiki alinisaidia kukata vibali vya TRA ila kwa sasa hayupo.
Mwaka jana nilihusika tu kwenye kulipia zile kodi za kila baada...
Habari ndugu jamaa na marafi kutoka JF.
Nimejaribu kuwaza kwa sauti hapa, mtu akiwa na mtaji chini ya million moja na yuko mji midogo (Halmashauri) hana shamba.
Je, shughuli gani kati ya (kilimo...
Kuna sababu kadhaa kwa nini unaweza kuamua kusajili kampuni. Hapa kuna baadhi ya faida za usajili wa kampuni:
1. Utambulisho rasmi: Usajili wa kampuni hutoa kitambulisho rasmi cha biashara yako...
Benki kuu ya biashara ya NMB Tanzania imetangaza matokeo yake ya kiutendaji ya FY2022|23.
Kwamara nyingine Matokeo yakionesha benki hii imevunja rekodi kwa mwaka mwingine...
Hivi serikali haiwezi kuchukua vijana wetu tukawapeleka china kwenda kujifunza utengenezaji na uundaji wa pikipiki?Hata kwa awamu?
Kwanini nasema hivyo pikipiki zimeshaonekana kuwa ni hijati kubwa...
Tangazo nahitaji mpishi wa vitafunwa na chakula cha mchana na
Vyakula include pilau biryan wali wa kawaida ndizi mshahara sh laki 2 include chakula cha mchana kwangu kwa atakaehitaji awasiliane...
Statement of Estimated Tax Payable na Final Return of Income ni nyaraka mbili tofauti zinazohusiana na kodi ya mapato nchini Tanzania. Hapa kuna tofauti kuu kati ya hizo mbili:
Statement of...
Habari wanna jamii.... Kama mada inavyojieleza hapo juu, ninafikilia kuanziasha biashara ya kuuza barafu katika masoko na shule zinazonizunguka ninaomba ushauri kwa wazoefu katika mambo haya
01...
Mimi sina ujuzi wowote wa bima na ninakampuni ya shughuli nyingine tofauti na bima, isipokuwa nimeona nafasi kwenye shughuli zangu hizi nawezakupata ma kazi nyingine za kukatia bima. Tafadhari...
Habari Wana jukwaa!!
Ni matumaini yangu mu wazima wa afya njema, na poleni kwa changamoto za hapa na pale katika utafutaji wa riziki, naamini kila kitu kitaa sawa kwani MUNGU yu upande wetu...
Hello naitaji ushauri mlezi wangu kapata changamoto ya afya na akashauliwa astaafu kwa hiari lakni Bado anamkopo benki ya nmb na kumaliza ni mpaka mwaka 2026 je hapo utaratibu Huwa inakuwaje...
Mnaofanya biashara za mabucha, samaki wabichi, vinyozi, maziwa, juice fresh, usagishaji wa nafaka na uchomeleaji mnawezaje katika mazingira haya?
Marejesho yenu ya mikopo katika mabenki, SACCOS...