Eswary jnr
New Member
- Nov 21, 2018
- 1
- 1
Hello naitaji ushauri mlezi wangu kapata changamoto ya afya na akashauliwa astaafu kwa hiari lakni Bado anamkopo benki ya nmb na kumaliza ni mpaka mwaka 2026 je hapo utaratibu Huwa inakuwaje wakufuatwa ili apate stahiki zake na kulipa mkopo uliobaki nafuatilia ushauri