Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Nazungumzua hizi pombe za 2000 kwa mfano ukiagiza Mzigo wa kampuni ya MATI SUPER BRANDS LIMITED wenye vinywaji kama vile Zed na strong spirit unapata faida kubwa sana. Ukiagiza katoni 500 kwa...
4 Reactions
38 Replies
14K Views
Mkoa wa Arusha ni moja kati ya mikoa yenye mzunguko mkubwa wa pesa ila una tatizo moja. Arusha ikiwa ni jiji lina tatizo la kuwa na asilimia kubwa ya vipanya (hiece) ambazo madereva wake nusu...
4 Reactions
28 Replies
6K Views
Mwaka 2018 mimi na jirani yangu tuliuziwa plots kwa bei ya 350,000(laki tatu na nusu) kila mmoja kwa maana kiwanja kimoja kimetoka viplot viwili. Kwa wakati huo mfuko wa cement ulikuwa unauzwa kwa...
12 Reactions
34 Replies
3K Views
Wakuu habari? Kuna watu nilikuwa nachat nao wako huko nje, wakawa wananishawishi niingie kwenye hii biashara; wao watakuwa wanachezesha akaunti, na baada ya kama siku saba kuna gawio la faida...
5 Reactions
74 Replies
4K Views
Habari wadau Airtel sasa wameanza kuvuruga mfumo wao wa biashara.. Airtel matangazo mengi kwa maana ya promo na sasa mmefikia hatua mmeanzq kuharibu biashara.. yaan imefikia hatua mmeanza...
0 Reactions
0 Replies
420 Views
Wakuu niaje,mko poa...mi mafanya biashara ya ladies shoes na mikoba,niko location mwanza.nilianza kwa kukata baloo za viatu mwenyewe na pochi,kwenye viatu nilikuwa nafungua grade number moja ila...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndugu zangu nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nimepatwa na changamoto ya kushindwa kulipia malipo mtandaoni kupitia visa card, nimetumia card ya TIGO,VODA na CRDB lakini...
1 Reactions
6 Replies
593 Views
Kumekuwa na utaratibu mbaya sana watu kuchukuwa mikopo mabenkI bila kuwa na utaratibu sahihi utakaowawezesha mikopo hiyo ijilipe wenyewe bila ya kuathiri vipato vyao ila wengi wamekuwa wakifanya...
0 Reactions
0 Replies
406 Views
Habari wadau. Naomba kujifunza kwa mtu aliendelea katika masuala ya cryptocurence. Mimi ni mfanyabiashara wa p2p binance. Mtaji wangu nj mdogo bado, ni laki tano pekee. Changamoto niliyokutana...
2 Reactions
4 Replies
861 Views
Leo nimetoa pesa kwa wakala, kwenye simu nilikua na 50000. Wakala akanambia tumia njia ya kawaida Kama unatuma pesa akanipa namba ya kawaida, kwenye kiasa akanambia weka 49550 kweli nikaweka...
5 Reactions
7 Replies
1K Views
Hakuna kitu kinarudisha Nyuma maendeleo ya wafanyabiashara wengi kama utapeli wa Mtandaoni. Mtu unafanya kazi unajikusanya alafu mtu anakuja kukutapeli. Nimekutana na tapeli ambaye anaishi Dubai...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
VISINGIZIO HIVI VIMECHELEWESHA WENGI KUFANIKIWA KIFEDHA. Achana navyo mara moja. "visingizio ni kichaka cha watu waliojikatia tamaa ya mafanikio." Ukiona mtu yeyote anajivunia visingizio huyo...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Naombeni kujua jinsi ya kufanya matangazo na mauzo mtandaoni kwa bidhaa za chakula Yani kuandaa tangazo ni vitu gani nizingatie na vipi havina umuhimu, maana nataka nianze biashara kwa kutangaza...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Naomba kuuliza kama naweza pata wazoefu au wafanyabiashara ya Marashi hasa Oud aina zote, Misk na mamb mengine kama hayo vipi kuhusu mtaji na soko lake likoje!?
0 Reactions
7 Replies
847 Views
Habari wana JF! Tukumbuke kabla ya tarehe 01/06/2019 nilikuwa na wazo la kufanya "waste plastic pyrolysis" yaani nichakate mifuko ya plastic kuwa bidhaa zenye manufaa kwa watanzania harafu...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari:- Wakat tunaendelea kuishi pia tunaendelea kujifunza na kukumbushan. Maisha bado ni hatua na kufanikiw tuu kwa kias cha kawaida (kuwez ku mudu nahitaji ya msingi ya maisha bado ni...
4 Reactions
3 Replies
723 Views
Mimi nilipoanza kulima ndipo niliona Dar kuna vijana wazembe sana yaani wamekaa na wanawaza kuuza viatu na nguo tu hakuna mawazo mbadala yaani hawawazi mambo makubwa. Nimetoka Dar na nimefanikiwa...
26 Reactions
132 Replies
32K Views
Habari zenu wadau, Mimi ni kijana nimejiajiri kwenye sekta binafsi lakini pia nina kampuni yangu nimefungua, Sasa natafuta Client yoyote ambaye naweza kushirikiana nae kufanya biashara ya vinywaji...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Naombeni ushauri nahitaji kufungua kampuni ya kuuza nguo za watoto kutoka china na uturuki me na ke kuanzia miaka 2-15 niwe nauzia Wafanyabiashara wakubwa na wadogo vipi kuhusu soko hilo la nguo...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama kuna zao lenye "ZERO" marketing strategy ni zao la kahawa. Huwezi hata kujua upo kwenye nchi au mkoa unaolima kahawa. Unywaji uko chini sana na bei ziko juu. Hakuna msukumo wa kuitambulisha...
2 Reactions
0 Replies
567 Views
Back
Top Bottom