Kamatia fursa hapa fasta

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Feb 26, 2018
2,490
3,534
Habari wana JF! Tukumbuke kabla ya tarehe 01/06/2019 nilikuwa na wazo la kufanya "waste plastic pyrolysis" yaani nichakate mifuko ya plastic kuwa bidhaa zenye manufaa kwa watanzania harafu nijipatie pesa niweze kuendesha maisha.

Lakini kutokana na agizo la serikali kukataza mifuko ya plastic wazo hilo ikabidi nilizike.

Nakumbuka asubuhi hiyo kuna mheshimiwa mmoja akikuwa anaojiwa katika kipindi cha asubuhi cha kina Masoud Kipanya ,hivyo msikilizaji mmoja akapiga simu kutaka kujuha madhara ya katazo hilo iwapo kama litaathiri misitu,hapo ndipo likaja wazo la "paper recycling",sababu mheshimiwa hakujibu swala hilo ila msikilizaji alinifanya nitafute jibu la swali na nikalipata.

Hatimaye leo ni mwaka mmoja nimethubutu na nimepata formula takribani tatu za kufanya paper recycling .Nimejaribu kuchunguza nikaona watu wengi wameelemea kwenye kutengeneza sabuni na vipodozi.

Ila nikaona leo niwashilikishe wadau ubunifu huu ili kama kuna atakayeitaji mafunzo au kuungana na mimi ili tufungue ka kiwanda ketu tukawa tunatengeneza mifuko ya khaki,spring files,majaradio na bidhaa nyingine zitokanazo na karatasi.

Kuanza biashara hii hakutokuitaji msingi mkubwa sana,ila kuirasimisha hapo kidogo kahela katakuwa juu.

Kama utaitaji kuwekeza kwenye wazo langu hili la biashara tuwasiliane na kama utaitaji mafunzo pia nicheki .

Kama utaitaji kununua karatasi nicheki nauza 4000/= kwa Pc 100 karatasi ni ngumu na nzito si raisi kuchanika.
Zipo za 7000/= kwa pc 100 hizi zimefanyiwa coating hazipitishi mafuta.

Natarajia mrejesho kutoka kwenu,kifupi mm ni mhandisi sina kitu kingine ninachokijua kwa hiyo natarajia maushauri ya kingwini yamwagike ya kutosha ili nitoboe.
 
Attachments

  • IMG_20200202_145452_1.jpg
    IMG_20200202_145452_1.jpg
    93.6 KB · Views: 24
  • IMG_20200202_145509.jpg
    IMG_20200202_145509.jpg
    116.2 KB · Views: 22

Mambo vp mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom