Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wakuu nataka kufungua account ya kikundi (familia) NMB. Ni vitu gani vinahitajika tofauti na mtu anapofungua account binafsi?
0 Reactions
6 Replies
15K Views
Anasema miaka 10 iliyopita serikali iliamua TANESCO ibinafsishwe; anatoa historia ya mgao; walipokuja NETGROUP solutions kuendesha TANESCO, walitumia maji mengi kuzalisha umeme.Hawakuwekeza kwenye...
0 Reactions
51 Replies
6K Views
Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Bank Foundation, Tully Esther Mwambapa, Mrajis wa Vyama vya Ushirika na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), Dkt. Benson...
0 Reactions
0 Replies
821 Views
Habari wakuu, kuna kipindi nilipost Uzi kwa wanaotaka kufanya biashara ya mafuta ya alizeti. Kuna watu wengi walinitafuta kuniulizia lakini kwa bahati mbaya hawakwenda na msimu ulivotaka...
1 Reactions
11 Replies
7K Views
Wanajamvi nawasalimu kwa jina la Muumba. Ninaomba kujua juu ya biashara ya bembea za kisasa, mtaji wake, faida na changamoto zake.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mbunge Stanslaus Nyongo: Lini Serikali Itaanza Kununua Pamba toka kwa Wakulima Pindi Bei ya Pamba Inapoporomoka katika Soko la Dunia SERIKALI ipo katika hatua za awali za uanzishwaji wa Mfuko wa...
0 Reactions
1 Replies
899 Views
Ni ukweli usiopingika kwamba kwa sasa hizi Bank mbili ni wababe ktk sekta ya Biashara ya kibenki Tanzania na hii ni kutokana na ukubwa waliokua nao na pia kutopishana sana kwny baadhi ya takwimu...
13 Reactions
82 Replies
7K Views
Habari wakuu! Niliwahi kuandika hapa kuhusu biashara ya alizeti na mafuta yake! Kwa mwaka huu kama unataka kufanya biashara fanya hii na itakulipa! Mafuta yameshuka Sana bei Hadi kufikia 48000...
11 Reactions
36 Replies
8K Views
Nimpya Ipo kinondon Cm 0712690760
0 Reactions
3 Replies
339 Views
Tofauti na nchi zilizoendelea ambapo uwekezaji wa makampuni ya bima katika masoko makubwa ya hisa ni mkubwa na hutazamwa zaidi na wawekezaji wengi duniani kwa Tanzania Sijawahi kuona kampuni...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Muhimu: thamani ya pesa inashuka kulingana na muda, shilingi 50 ya 2000 ilikuwa nauli ya daladala kwenda na kurudi lakini hauwezi fananisha na ya 2020 onayonunua pipi moja tu. Ikiwa mtu ana sifa...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari wadau Kutokana msimu huu wa mfungo wa ramadhani, kuna Ndugu yangu anataka anitumie kama tani 20( kontena) za tende kutoka Saudi Arabia ili nifanye biashara. Sasa nataka kujua ni documents...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Kuna jamaa yangu anataka kuniuzia kiwanja kingulwira Morogoro, Kwa wenyeji wa kule vipi pakoje? Hali ya hewa, huduma za jamii, biashara/kilimo Naomba muongozo
0 Reactions
10 Replies
838 Views
habari wadau wa JF? Mimi ni member mzuri wa jukwaa hili kwa kusoma na kupata mawazo mbalimbali ambayo kwa namna moja au nyingine yananisaidia kama mjasiriamali mdogo kwa kiasi kikubwa. Mbali na...
0 Reactions
46 Replies
13K Views
Ndugu wana jamvi hii benki tajwa hapo juu imekuwa na matawi mengi nchi nzima. lakini katika wilaya nyingi wamekuja na kitu kinachoitwa easy loan yaani mkopo rahisi. Walikuwa wakitembelea sehemu...
0 Reactions
17 Replies
10K Views
Habari wana jamiiforums, nategemea kufungua ivi karibuni biashara ya vifungashio (jumla & rejareja) maeneo ya Mwanza mjini. Naomba kwa wazoefu wa biashara hii mnifahamishe ni wapi naweza kupata...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Tatizo la dollar ni kubwa Hazipatikani hizi PhD ni za nn? Wananchi wanahaha.
3 Reactions
59 Replies
4K Views
Habari, samahani mimi ni mfanyabiashara mdogo wa accesories kofia miwani na pochi nataka kwnda China ninunue mizigo nije kuuza kwa jumla hasa yiwu lakini sina mwenyeji naomba ushauri? Na je kuna...
6 Reactions
47 Replies
12K Views
Back
Top Bottom