Naombeni kujua jinsi ya kufanya matangazo na mauzo mtandaoni

Naombeni kujua jinsi ya kufanya matangazo na mauzo mtandaoni kwa bidhaa za chakula

Yani kuandaa tangazo ni vitu gani nizingatie na vipi havina umuhimu, maana nataka nianze biashara kwa kutangaza mitandaoni ila sijui namna gani ya kutangaza

Msaada tafadhali, natanguliza shukrani
Hii ni familia kubwa ndugu hakuna kitu utakosa wacha waje, ila jiandae kisaikolojia wengine wana kera unaweza kuvulikwa na ustaarabu wako
 
Naombeni kujua jinsi ya kufanya matangazo na mauzo mtandaoni kwa bidhaa za chakula

Yani kuandaa tangazo ni vitu gani nizingatie na vipi havina umuhimu, maana nataka nianze biashara kwa kutangaza mitandaoni ila sijui namna gani ya kutangaza

Msaada tafadhali, natanguliza shukrani
Dah kwahiyo huu uzi wameutelekeza
 
Habarii, maelezo yako ni mafupi sana, ulitakiwa ujielezeee huku ukijtangaza, mfano mm ni fulani ,nipo mkoa fulani wilaya fulani tz , nafanya baishara ya chakula cha binadamu au mifugo nonaomba muongozo wa kuweka matangazo ktk sehemu moja na mbili hapo wana watakuja haraka sanaaa kukupa muongozo boss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naombeni kujua jinsi ya kufanya matangazo na mauzo mtandaoni kwa bidhaa za chakula

Yani kuandaa tangazo ni vitu gani nizingatie na vipi havina umuhimu, maana nataka nianze biashara kwa kutangaza mitandaoni ila sijui namna gani ya kutangaza

Msaada tafadhali, natanguliza shukrani

Soma hii thread hope itakusaidia sanaa

Safari ya mafanikio inaanzia hapa
 
Habarii, maelezo yako ni mafupi sana, ulitakiwa ujielezeee huku ukijtangaza, mfano mm ni fulani ,nipo mkoa fulani wilaya fulani tz , nafanya baishara ya chakula cha binadamu au mifugo nonaomba muongozo wa kuweka matangazo ktk sehemu moja na mbili hapo wana watakuja haraka sanaaa kukupa muongozo boss

Sent using Jamii Forums mobile app
Shukran
 
Kama ni mjasiriamali, unaweza kutangaza bure katika mtandao wa Sahili Marketplace Network.

Pia kupitia Jarida la wajasiriamali la Sahili.
Maelezo yote yamo katika jarida, msije inbox wala
 
Attachments

  • Jarida la wajasiriamali na biashara zao Sahili Marketplace Network (Toleo 1).pdf
    9.1 MB · Views: 9
Ulifanikiwa?
Unafanya biashara wapi na biashara gani?
Wateja wako ni watu wa aina gani?

Budget yako ya chini unayoweza kuhimili kulipa tangazo ni kiasi gani?

Mtandao upi wa kijamii unautumia zaidi?
 
Hapana sikufanikiwa
Eneo langu la biashara niko mbezi, na nafanya biashara ya mikoba na keki
Kwenye mikoba bado sijapata soko

Budjet ya chini naweza kulipia ni 5k

Na mtandao ninaotumia zaidi ni twitter
 
Okay, natumaini huwa una post hizo biashara katika mitandao ya kijamii kama huko X.

Fungua na page ya facebook na instagram kwa ajili ya ku post.

Tumia line ya voda au airtel kutengeneza card kwa ajili ya kulipia post utakayoichagua kama tangazo, ikiwa ya video ni vizuri zaidi.

Unaweza kulipia tangazo likaangaliwa na watu wengi lakini usipate mteja au ukapata wachache, kuna vitu utatakiwa ujifunze katika ku set tangazo ambalo litawafikia walengwa wako kwa maana ya location n.k

Ni suala linahitaji ka muda kidogo na ustahimilivu, budget ya 5k ni ndogo lakini inatosha kwa kuanzia, huku ukiongeza matumizi ya mbinu za bure au gharama ndogo, kama vile ku post video fupi unazoweza ku record hata kwa simu.

Kama bado kuna ugumu nishtue
 
mtandao wa X na aina hiyo ya biashara naona kama sio mtandao sahihi

fungua account instagram uwe nazo mbili ya cake na hiyo mikoba

kuhusu cake
anza kupost picha zako za cake na short videos zako unazoandaa cake wajuvi wanaita behind the scene
uwe na picha picha nyingi kidogo lakini ziwe zako na usisahau kuweka watermark usijeibiwa

pili hakikisha account umeigeuza kuwa ta biashara na isiwe private

tatu usipost mambo yako personal kwenye account ya biashara post issues za cake tu

fanya hivyo kwenye account ya mikoba pia

halafu sasa tafuta mtu akufundishe hata kwakumlipa namna ya kucheza na algorithm ili ulipost tangazo upate wateja

budget ya 5k ni ndogo sana italiwa tu siku hizi ushindani ni mkubwa sana mwenye budget ya kueleweka ndo anaonwa sana

angalau $3 kwa siku na minimum 3day max 7days

all the best dear
 
Shukran sana kuna kitu nimepata hapa 🫡
 
Okay, natumaini huwa una post hizo biashara katika mitandao ya kijamii kama huko X.

Fungua na page ya facebook na instagram kwa ajili ya ku post.

Tumia line ya voda au airtel kutengeneza card kwa ajili ya kulipia post utakayoichagua kama tangazo, ikiwa ya video ni vizuri zaidi.

Unaweza kulipia tangazo likaangaliwa na watu wengi lakini usipate mteja au ukapata wachache, kuna vitu utatakiwa ujifunze katika ku set tangazo ambalo litawafikia walengwa wako kwa maana ya location n.k

Ni suala linahitaji ka muda kidogo na ustahimilivu, budget ya 5k ni ndogo lakini inatosha kwa kuanzia, huku ukiongeza matumizi ya mbinu za bure au gharama ndogo, kama vile ku post video fupi unazoweza ku record hata kwa simu.

Kama bado kuna ugumu nishtue
Ni kwa namna gani naweza lipia tangazo
 
Ni kwa namna gani naweza lipia tangazo

Kwa instagram ukifungua account yako ya biashara kila picha utakayoipost kwa chini utaona neno limeandikwa “Boost post”

Ukibonyeza hapo itakupeleka sasa sehemu ya kutengeneza tangazo kutokana na unavohitaji na baada ya hapo utalipia
 
Back
Top Bottom