Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Kwa wengi wetu neno hisa ni neno tuliloanza kuliskia tangia udogoni,lakini hata hatuelewi lina maana gani,,,Hii ni kutokana na serikali kutoiweka elimu hii muhimu katika mitaala na kutupatia elimu...
2 Reactions
2 Replies
649 Views
Hivi hatuwezi kukutana na kutengeneza kitu cha pamoja? Maana penye wengi pana mengi Nawasilisha
22 Reactions
219 Replies
12K Views
Habari wan JF Natumai ni wazima, Nilikua nahitaji mashine ya kukamulia juice ya umeme je naweza kupata wapi na kwa bei gani. Naomba kwa mwenye kufahamu pia mwenye kujua connection ya miwa...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Maandalizi ya Mkutano wa Wafanyabiashara wa Mifugo, Kilimo wa Tanzania na Comoro yakamilika Balozi wa Tanzania nchini Comoro, Mhe. Saidi Yakubu, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Jumuiya...
0 Reactions
1 Replies
504 Views
Wakuu, Kwa wenye ujuzi na uzoefu naomba mawazo yenu juu ya biashara ya Bar. Vitu gani vinatakiwa, vitu gani vya kuzingatia kabla ya kufungua na mahala ambapo panafaa zaidi kwa hizi biashara za...
0 Reactions
190 Replies
51K Views
Wakuu habari! bila ya kupoteza wakati niende kwenye maada husika wazo langu ni kufungua ofisi ya kuuza na kununua pikipiki amabazo zimeishatumika mtaani(used) Ili ofisi iwe imekamilika kwa...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu habari ya leo. Nina wazo la kununua guta la pikipiki kati ya Wanhoo au Toyo. Nafikiria kumpa mkataba kijana kwa hesabu ya 20,000/= kwa siku kwa muda wa miezi 24. Eneo la kazi ni Tanga...
0 Reactions
17 Replies
13K Views
Baada ya kusoma kitabu cha fikiri utajirike (Think& grow rich) nimetokea kuvutiwa nami kutafsiri vitabu ambapo nia yangu nikuja kutafsiri kitabu kama cha human nature, unlock it by Dan Lok na...
1 Reactions
8 Replies
585 Views
WADAU WAITIKIA WITO WA RAIS DKT. SAMIA WA KUONGEZA THAMANI MADINI NCHINI -_Waziri Mavunde aweka jiwe la msingi la ujenzi wa kiwanda cha kuchakata madini Kinywe(Graphite) -Zaidi ya Ajira 300 za...
0 Reactions
1 Replies
403 Views
Asalaam wanajamii wenzangu! Mimi ni mhitimu wa chuo, nimehitimu miaka kadhaa iliyopita, kwa hali zetu kwa sasa ni ngumu kupata ajira, nimejipiga sana nikasave sh. Mil 3 kwenye harakati za mtaani...
3 Reactions
54 Replies
13K Views
WAZIRI ANTHONY MAVUNDE AMESEMA MAKUSANYO SEKTA YA MADINI IMEVUNJA REKODI Mavunde apiga marufuku wageni kuingia leseni za wachimbaji wadogo Atangaza kiama kwa watumishi wasio waadilifu Kuendesha...
0 Reactions
1 Replies
335 Views
Ila matajiri wa bongo bwana. wamekuwa motivational speakers kuliko uhalisia. Tajiri wa kitanzania na mmiliki wa mabasi ya Super feo anasema yeye alianza na mtaji wa elfu 20 tu na sasa anamiliki...
5 Reactions
31 Replies
3K Views
Jamani kwa mtu ambaye hajawahi kufanya biashara ni wapi pazuri kuwekeza kama million 100? Hisa, kampuni zipi Zina hisa Bora,,NMB,CRDB,TBL, Serengeti Bia,Wapi hasa na kwanini? Bond..je za BOT 20...
3 Reactions
35 Replies
4K Views
Nikiwa na one million naweza fanya biashara gani na ikanipa faida nzur msaada apo
2 Reactions
4 Replies
906 Views
JamanI mimi nataka nifanye biashara ya dagaa nakua nasafirisha kutoka mwanza kupereka songea na iringa je ni changamoto gani ninaziweza kukutana nazo. Nahitaji TahadharI, faida zake na hasara...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
ZIARA WAZIRI MAVUNDE YALETA FARAJA KWA WACHIMBAJI WADOGO WA LEMISHUKO, SIMANJIRO-MANYARA - Eneo la Lemishuko kurushwa ndege nyuki ya Utafiti - Serikali kutatua changamoto ya Maji,Umeme,Barabara...
0 Reactions
0 Replies
356 Views
Mimi ni kijana wa miaka 30 nina elimu ya diploma ya clinical medicine nilimaliza chuo miaka 4 iliyopita.naomba kufahamishwa hasa namna rahisi ya kumudu biashara tajwa hapo juu. Siwezi kukaa...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Unavyotengeneza mbinu (strategies) mbali mbali za biashara. Basi bidhaa (product) inaingia, kuwa miongoni mwa mbinu (strategies) zako. Hapa tunapata kitu kinaitwa, setting product as a strategy...
1 Reactions
2 Replies
652 Views
Wakuu msaada hapa mawazo tutani, napenda sana biashara ya samaki, naomba kujua ni kwa namna gani nitafanya bishara hii japo kwa mtaji mdogo ila tu inipe faida. Kwa uenyeji mimi nipo mkoa wa mara...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom