Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari za wakati huu wakuu humu ndani
1 Reactions
1 Replies
291 Views
Kuna masoko takribani matano ya mitaji Soko la hati fungani Soko la hisa Soko la Kubadilisha fedha Soko la Cryptocurrency/ Fedha za crypto Soko la Bidha/Dar Mercantile market Hayajepewa kibali...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu, Mimi nikijana ninafanya kazi kwenye taasisi moja nchini kama Volunteer kwa muda wa miezi sita sasa. Mwanzo nilikuwa nafanya kazi kwenye moja la shirika kubwa na mshahara mzuri sema...
20 Reactions
148 Replies
15K Views
MKUTANO WA KIMATAIFA WA UWEKEZAJI SEKTA YA MADINI TANZANIA KUWAVUTA WAWEKEZAJI DUNIANI KOTE - MAVUNDE Asema Tanzania Iko tayari kwa Uongezaji Thamani Madini 📍Dar es Salaam. Waziri wa Madini...
0 Reactions
0 Replies
410 Views
Kwa muda mrefu, Asasi za Kiraia zimekuwa zikitambulika kwa majina tofauti tofauti kama vile; sekta ya kujitolea yaani “voluntary sector”, sekta isiyotengeneza faida, yaani “not-for-profit sector”...
3 Reactions
1 Replies
773 Views
Hasa wenye makabila ya asili ya Tanzania Biashara inaenda vizuri bila tatizo mfanyabiashara anaona haitoshi yafaa kuiwekea ulinzi, anamtafuta mganga kufanya zindiko. Biashara ikianza kufeli...
5 Reactions
26 Replies
1K Views
Habarini wakuu, Naomba kuuliza kama yupo mwenye kufahamu mutual funds(kama vile UTT nchini tanzania) kwa nje ya nchi (esp. Marekani & Uingereza) ambazo zinaruhusu foreigners kuinvest atupe...
0 Reactions
0 Replies
330 Views
Anahitajika mpangaji binafsi au taasisi kwa ajili ya kupanga nyumba kubwa yenye fence kubwa ya viwanja viwili double vya low density. Eneo ni Kinyerezi mwisho bomba la Songazi ni mita kama 200...
6 Reactions
17 Replies
816 Views
VIJIJI VITANO VYALIPWA BILIONI 2 ZA MRABAHA KUTOKANA NA UZALISHAJI WA DHAHABU NYAMONGO-TARIME ●Kiasi cha Tsh Bilioni 2 zalipwa kwa vijiji vitano ●Wilaya ya Tarime yanufaika na Malipo ya Tsh...
0 Reactions
1 Replies
389 Views
WAVUVI WA MUSOMA VIJIJINI WAHAMASIKA KUCHUKUA MIKOPO NAFUU YA SERIKALI YA UVUVI WA VIZIMBA Busumi Fishing Cooperative Society (Chama cha Ushirika cha Wavuvi wa Kitongoji cha Busumi) kimechukua...
0 Reactions
0 Replies
352 Views
Wakuu habarini, Nahitaji kufungua duka la vinywaji kama bia, soda, pombe kali baadhi, maji na sigara la rejareja sio kuubwa bali la kawaida tu, naomba muongozo wa wanaofanya hii kwamba naweza...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Wakuu, naombeni wazo la biashara ya mtaji wa 300k-500k Dodoma Mjini Napokea ushauri wenu
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Rais wa 16 wa Marekani, Abraham Lincoln aliwahi kusema “Ukipewa Masaa sita ya kukata mti, tumia masaa manne kunoa shoka” kwa maneno mengine ni kuwa utatumia nguvu nyingi sana kuangusha mti ikiwa...
8 Reactions
4 Replies
762 Views
Kama mfanyabiashara wa Tanzania nikiwa na uzoefu wa takriban miaka 15, naomba nitoe uzoefu wangu kwa watu wanaotamani kuanza biashara zao wakilenga kupata tender za serikali kama source kubwa ya...
6 Reactions
9 Replies
790 Views
Maisha yetu na safari nzima ya maisha ni Project yetu. Madamu ni project mhimu kila mmoja ajifanyie SWOT analysis yake, hii itamsaidia ajitambue, ajirekebishe, ajitathmini na aamue mambo...
5 Reactions
5 Replies
611 Views
Habarini wana JF, Maritz 2000 traders company limited ni wauzaji wa protective equipments zote kwa bei nafuu ikiwemo Gloves Mask Helments Safety boots Overalls aina zote Karibuni sana Whatsapp@...
1 Reactions
1 Replies
272 Views
guest-1788672427
Hey, wapendwa 4M inatosha kufungua grocery? Kama inatosha je vitu gani muhimu? Na yenyewe inatakiwa kuwa na Vibali au unaweza kufungua kama duka la mangi? Nafikiria kwenda field ili nipate...
9 Reactions
71 Replies
8K Views
Imekuwa kawaida kwa watu wa call center Kutoka taasisi mbali mbali kupiga simu kwa wateja Hasa pale taasisi inapoamua kufanya sales kupitia kupiga simu. Tunajua sales is a game of number sio...
3 Reactions
0 Replies
386 Views
JUHUDI ZA SERIKALI ZAWEZESHA WACHIMBAJI WADOGO KUAMINIKA NA TAASISI ZA FEDHA ● Kiasi cha Shilingi Bilioni 10 zakopeshwa kwa wachimbaji wadogo kutoka CRDB ● Ni mkopo wa Mtaji,manunuzi ya mitambo...
0 Reactions
0 Replies
355 Views
Kwa zaidi ya 70% uwekezaji uliopo katika soko kuu la hisa Dar es salaam ni kutoka nje ya nchi...Taasisi au watu binafsi. uwekezaji wa ndani bado ni mdogo kwani 0.3% ndiyo wenye uelewa wa soko la...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom