Kwa fake Id nadhani watu wataogopa kujitokeza live,
Mbona vingi sana basi tu wabongo hatunaga tabia ya kujiamini na kuweka akili pamoja....Hivi hatuwezi kukutana na kutengeneza kitu cha pamoja? Maana penye wengi pana mengi
Nawasilisha
Sidhani Kama watakutana kwa majina fake maana hicho kitakuwa kitu serious!huku JF kitaendelea na majina fake kwenye project majina halisiKwa fake Id nadhani watu wataogopa kujitokeza live,
Kuhofia usalama wao.
Mshana kama umeacha hii maneno urafiki na mm umeisha aisee sikufaham haunifaham nlikuwa nakukubali sana na kukuamini saana. Haijapita siku sijatembelea thread yakoNimeshaacha na nikatoa taarifa hapahapa.. Sirogi tena
Kuna mmoja ameleta kikwazo chanya. Its a StepHivi hatuwezi kukutana na kutengeneza kitu cha pamoja? Maana penye wengi pana mengi
Nawasilisha