Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari. Hivi ni sahihi kutumia neno Facebook kama jina la biashara? Mfano FACEBOOK PUB au FACEBOOK LOUNGE au FACEBOOK BAR. Kisheria imekaaje?
4 Reactions
15 Replies
973 Views
Hello, nahitaji muongozo kuagiza bidhaa ambazo ukiingia Amazon unaambiwa THIS ITEM DOES NOT SHIP TO YOUR LOCATION. Nina soundbar nililetewa na mtu imekufa, nataka kuagiza nyingine lakini haiwezi...
1 Reactions
1 Replies
355 Views
To attract more customers to your business, consider implementing the following strategies: 1. Define your target audience: Identify your ideal customers and understand their needs, preferences...
2 Reactions
6 Replies
4K Views
Naomba mwenye anajua mawakala wa pikipiki aiba ya Sanlg na Sinoray anisaidie pls🙏🙏
0 Reactions
3 Replies
489 Views
Wana jf, nimeona hizi noti mpya za elfu kumi zina usawa wa ukubwa sawa na noti ya elfu mbili ya zamani! Tahadhari kwa wale wanaotumia money counting machines! Zikichanganywa na za kumi...
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Pesa au fedha Uzalishwa wapi?? Pesa ni chombo cha kubadilishana bidhaa na huduma katika ya watu. Katika lugha ya kiswahili. Chombo hicho kina majina kaza wa kaza Fedha, mshiko, chapaa, na mengine...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni Kawaida Sana kupita sehemu ukasikia tangazo la mtu kununua pesa za kigeni pesa mbovu au pesa za zamani yes pesa hizi zinanunuliwa kulingana na thamani mfano elfu 10 mbovu atakupatia elfu 8 yeye...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari zenu wana Jf ni matumain yangu kuwa mko salama. Kama topic inavyojieleza hapo juu naomba msaada wa kujua namna ya kuanzisha, kuendesha faida, changamoto na namna ya kuziepuka ili niweze...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Mashudu mazuri ya karanga nauza nipo Dodoma bei maelewano nicheki kwa namba zangu +255682761740 tufanye biashara iliyonyooka ipo Tani 30 kilo sh.800
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari? Naomba kupata muongozo. Je, milioni nane inaweza tosha kufungua grocery kwa Dar es salaam? (Pombe+soda+maji)
4 Reactions
17 Replies
942 Views
Ni tarehe 12 mwezi wa nane, Je una duka la vifaa vya ujenzi? Ulishawahi kukopwa mzigo mkubwa na mtu,kikundi cha watu,au taasisi? Vipi ulilipwa kwa wakati? Na wakati unadai pesa yako,ilikuwaje...
2 Reactions
2 Replies
608 Views
Nina eneo langu lipo barabarani kabisa... Maeneo ya Tegeta.. Huku ndo watu wanajenga sana sasa hivi, zipo hardware uchwara ambazo hazina kila kitu.... Kama tiles ndo hakuna kabisa... Sasa...
8 Reactions
26 Replies
2K Views
WIZARA YA MADINI YAANZA UTEKELEZAJI WA PROGRAMU YA WAKINA MAMA NA VIJANA (MBT) KWA VITENDO •Leseni 4 zakabidhiwa kwa kikundi cha Mshikamano Women •Waziri Mavunde awapongeza kwa kujenga Zahanati...
0 Reactions
0 Replies
317 Views
Natafuta mtu mwaminifu mwenye duka, nitakaye mkopesha product hizi na atalipa atakapouza. Maduka 25 tu. Kama unahitaji wahi sasa. Product hizi ni 1.a )Mishumaa ya kawaida. b)Mishumaa ya...
0 Reactions
1 Replies
376 Views
Habar wakuu, Tafadhari rejea kichwa hapo juu. Baada ya kukaa benchi mda kidogo bila ajira niliamua kujichanga mm na rafiki yangu kufungua biashara ya laptops za vifaa vya simu, Mungu akasaidia...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Nawasalimu nyote kupitia jina kuu lipitalo majina yote.! Nilitaka kutabiri muda wa anguko au kufa Kwa SGR nikakuta kumbe kuna nabii kashaa tabiri kwamba haifiki miaka 6 hii tren itashindwa...
8 Reactions
52 Replies
2K Views
Naomba kujua mwenye uzoefu na mfumo wa VAT namba ya kujisajiri na jinsi ya kuutumia mfumo. Msaada
0 Reactions
6 Replies
887 Views
CRDB BANK: Nilifungua account ya CRDB lakini nilikutana na mambo ya ajabu mpaka nikatelekeza account baada ya miaka 4. Niliwahi kufanyia miamala ya kutoa pesa kwenye ATM za CRDB ndani ya mwaka...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
Watu wanafurahia kuhusu uwekezaji angali wengine wanabeza na wengine hawajui ni nini kinaendelea Kwenye jamii kuna makundi matatu ya watu. 1. Kundi la wengi, wale wanatumia nguvu akili, jasho na...
13 Reactions
22 Replies
3K Views
Back
Top Bottom