wana JF habarini za majukum! Hope week inaanza vyema kwa wengi wetu, jamani natamani sana kuingia kwenye field ya biashara na sijui ni wapi nianzie mwenye mawazo naomba anisaidie sambamba na hilo...
Kwa muda mrefu nimekuwa nikiwasikia watu wengi anapoongea kiswahili au lugha ya asili basi huweza kusema jambo hili kwa kitaalamu hujulikana kama..................hapo atataja neno hilo kwa...
Habari zenu wanajamvi!kabla ya yote napenda kutanguliza shukrani zangu za dhati kwa manajamvi kwa michango ya mawazo mbalimbali ambayo inatusaidia wengi wetu.
wana jf wamekua sio wachoyo wa...
Mkurungezi wa NSSF Anasema:-
"Nawasihi waajiri kulipa michango ya wafanyakazi kwa wakati ili wanufaike na shirika letu pia tunajitahidi kukamilisha miradi ya ujenzi wa daraja la Kigamboni na...
Habari zenu wanajamvi wenzangu mlioshiriki na msio shiriki siku hii ya Chai day.
Binafsi sikubahatika kuwepo ktk hafla hii basi cc wote ambao hatukushiriki tunaomba wale walishiriki watudokeze...
1) Biashara ya kahawa nje ya nchi
AAAOE - Sales leads, Business directory, B2B, Trade Leads, Wholesale, Import, Export, Marketplace, Bulletin board
2) Soko la chai nje ya nchi (Black tea)...
wajameni mie nataka kurudi bongo kufanya business, nina mtaji wa kama milion200 hivi, je ni biashara gani ambayo itanifaa? nilikuwa nawaza kufungua warehouse ya kuhuza vitu vya ujenzi lakini sijui...
Those who are planning to buy shares in Precision Air should be cautious as the airline seems to be in a financial crisis and are only looking for capital, there are also rumours of lots of...
Business doesn't get done without credit.Neither, for that matter, does much in modern life in general. This means we must deal with banks, an action that makes people nervous and disheartened.It...
Any one with Radio Station, i am doing Radio Production that includes Radio Programming (Mastering new schedules by considering compentence activities) We also train staffs about radio production...
WADAU UMEME UMEKUWA MTAJI MKUBWA WA MAFISADI ,VIONGOZI WETU WAMETAJIRIKA KUTOKANA NA UMEME NA MATATIZO YANAONGEZEKA KILA SIKU KUTOKANA NA UMEME NAOMBA UJADILI NA TUTOE MAPENDEKEZO MBADALA KWA HILI...
Wasalaam,
Upo mchakato wa kuongeza na ama kuingiza sekta binafsi katika ununuzi wa kahawa mbivu kutoka kwa mkulima(Cherry) . Hii itasaidia kupitisha kahawa nyingi zaidi katika mitambo ya kati...
Salaam kwenu,
1. Naomba nisaidiwe kwenye hili, Ninapo/tunapo deposit pesa zetu Bank, wao Bank
wanazifanyia nini hizi pesa?
2. Ni vipi unaweza ku-insure pesa, mfano ninapesa zangu nataka...
:bump: Salaam kwenu waungwana wote!
Nafikiria kununua Ki-gari to JPN in Apr 2011,
Plz naomba kufahamishwa gharama nitakazo paswa kuzilipa hadi linakuwa kwa barabara, bila gharama ya kununua na...
Wanajamii forums, natafuta soko la computer madhubuti kabisa used and brand new. Desk tops and laptops.
Desk Tops ambazo ni brand new ni za kisasa kabisa ambazo computer system imekuwa built in...
Habari zenu wadau
jamani yoyote anayeweza kunisaidia juu ya hili nitashukuru sana.Nina project nimeanzisha ya kilimo cha umwagiliaji maeneo ya Kisarawe tatizo ni kwamba sina acess ya maji kwa...
Wadau kuna marafiki zangu wame register kampuni, wako wanne, kampuni yao ina share zenye thamani ya sh milioni kumi lakini cha ajabu the whole process haijawakost hata sh milioni moja.!!? ivi hili...
In recent years there have been prices skyrocketing on consumers' goods and services in Tanzania caused by mismanagement of our economy; from planning to implementation aspects but at the end of...