Utata kwenye Shares za kampuni

Developer

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
446
502
Wadau kuna marafiki zangu wame register kampuni, wako wanne, kampuni yao ina share zenye thamani ya sh milioni kumi lakini cha ajabu the whole process haijawakost hata sh milioni moja.!!? ivi hili linawezekana kweli au ndo uchakachuaji
 
Sina uhakika unamaanisha nini kwa "share", wako kwenye DSE wanauza hisa? Anyway tuachane na hilo.

Share value ni market value , haina direct relationship na asset za kampuni.
Vitu kama brand name na future earning potential vinachangia kwenye share value, kwa mfano Coca-Cola ina thamani kubwa kwa sababu ya brand recognition ya Coca-Cola sio tu kwa sababu ya capital waliyoinvest. Facebook iko valued at $50 billion kwa sababu investors wanaamini baadae itakuwa inatengeneza profit kubwa, although mpaka sasa hakuna anayejua exactly HOW watatengeneza hiyo profit. So inawezekana ikawa na thamani hiyo.
 
its like you the type of business the company is involved in. you just buy your shares and become among of the owners.
just take a risk you never know. the earlier the better.
 
Back
Top Bottom