Soko la Computer

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,890
6,896
Wanajamii forums, natafuta soko la computer madhubuti kabisa used and brand new. Desk tops and laptops.

Desk Tops ambazo ni brand new ni za kisasa kabisa ambazo computer system imekuwa built in display moniter.

Walengwa ni:
1. Makampuni yanayotaka computer kwa ajili ya ofisi zao ikiwemo Computer Cafes
2. Wafanyabiashara ambao watakuwa wananunua kwa whole sale price
3. Watu binafsi wanaotaka brand new and used computers for retail price.

Computer zote ni kutoka Marekani zilizohakikiwa kwa kiwango cha juu kwa matumizi ya marekani.

Napatikana kwa email hii sndoyela@yahoo.com
 
Naomba walau muhtasari wa bei zako mkuu ili tuone namna ya 'kukuungisha', mfano laptop zinarange kuanzia shs ngapi na desktop bei gani na aina pia inakuwa poa.

Amani yetu inatumiwa vibaya.
 
Back
Top Bottom