kisima for commercial irrigation | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kisima for commercial irrigation

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by majiyashingo, Feb 3, 2011.

 1. m

  majiyashingo Member

  #1
  Feb 3, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari zenu wadau
  jamani yoyote anayeweza kunisaidia juu ya hili nitashukuru sana.Nina project nimeanzisha ya kilimo cha umwagiliaji maeneo ya Kisarawe tatizo ni kwamba sina acess ya maji kwa kila siku. Natarajia kuchimba kisima ambacho kirefu sana ambacho kinawechoweza ktoa maji kama lita milioni moja kwa siku ambazo nitakuwa nahihifadhi kwenye tangi ambalo nalo niko mbioni kulijenga kama tu suala la kisima litakuwa safi.Je mnaweza kuniambia procedure za kuchimba kisima kama hiki?ni document gani nahitaji na wapi na shillingi ngapi natakiwa kulipa kupata kibali.Na je gharama za kuchimba kisima kutumia kam kampuni ambazo zinafanya mambo yake kitaalamu zaidi inaweza kugharimu kiasi gani.

  Nawashukuru nyote asantane
   
 2. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Siyo kila mtu hapa ni mwisilamu

  haya shime waislamu msaidieni jamaa yenu
   
 3. m

  majiyashingo Member

  #3
  Feb 3, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Maji moto ndugu yangu niwie radhi maji yamenifika shingoni mimi ndo maana nikawakilisha suala barazani
   
 4. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #4
  Feb 3, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Wasiliana na Drilling and Dam Construction Agency wapo ubungo Wizara ya maji
   
 5. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #5
  Feb 3, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Nenda chuo cha maji pale jirani na UDSM... nahisi patakuwa sehemu njema kwa kuanzia utatuzi wa tatizo lako!:coffee:
   
Loading...