Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Nini maana ya kuwa mhitimu katika fani au sekta husika? Je Watanzania wasomi tunaelewa maana halisi ya kujishughulisha na fani/utaalamu fulani au kusomea fani hizo kama ijulikanavyo na wengi wa...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Kuna kamtindo ka watu kupenda kujionyesha kwa kuvaa labels - ati Gucci, Prada, Versace,dolce & Gabana etc..etc....tabia hii inanifurahishaga sana maana sijaelewa sana hii obsession inatokana na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wanajamii, soma habari hii chini. Nimeichukua toka TIJA. WATANZANIA TULISHINDWA NINI KUENDESHA HII BANK, MAKABURU WANAWEZAJE[/I][/B] QUOTED: "Nakumbuka miaka michache iliyopita hii bank ikiwa...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Part 2 Shukrani kwa wanajamii ambao mlichukua adha ya muda wenu kusoma sehemeu ya kwanza ya topic hii...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Salaams wana JF, Tafadhalini sana, naomba ambaye ana contract za wauza mbao wa Msumbiji, au wa TZ wanao import mbao kutoka Msumbiji, anipatie. Nahitaji Mahogany, Afrormosia, Mninga, Panga panga...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
The Tanzania Communication Regulatory Authority (TCRA) should do something about mobile phone subscribers being bombarded with unsolicited SMS from network operator. Mobile phone companies have...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
wanajamii, Nimeona niwataarifu WANAJAMII tatizo hili linaloweza kukupata pindi utumiapo NMB mobile kununua say LUKU. Jana nili-login kununua umeme nikapata alert SMS kuwa NOT AVAILABLE...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
PART 1 Kuna msemo usemao pesa uliyonayo mkononi leo ina thamani zaidi ya pesa utakayokuwa nayo mkononi kesho. Pia kutoka katika nadharia ya Gordon (1959) kuna msemo mwingine usemao ndege...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani tusaidieni sisi wapangaji wa NHC ndani ya jengo la Golden Plaza -Posta. HUyu Joint venture wa NHC amesainisha wapangaji mkataba wa kulipia huduma za umeme wa TANESCO, maji ya kisima...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WADAU Hapa chini kunatable ambayo inaonyesha ni jinsi gani nmb, ilivyopata faida kubwa kuzizidi bank, nyingine kubwa hapa tanzania, karibuni tujadili, but make sure unaangalia kwa umakini , net...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nahitaji kusoma master program ya Finance later this year hapahapa bongo,naomba links mbili tatu za sponsors ambao wanaweza sponsor mtu aina yangu ninayehitaji kusoma in my home country.I have...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hi. Pls can u guys explain what to be considered before pricing a loan?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
leo asubuhi nimepata email ya kimaendeleo kutoka kwa mtanzania.imenifurahisha sana kuona sasa tunaelekea usawa wa kenya,now people are dare to venture in new avenues please read to the end then...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Nilipost post asubuhi nikiomba msaada Javini wa taarifa hii, ila bahati nzuri nimeipata , tunaweza kushare hiyo taarifa kwa wale ambao nao hawakuwa na taarifa hii na wanataka kuwa Entrepreneurs wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tumezoea kwamba elimu ya msingi ni Darasa la kwanza hadi la saba. Lakini katika hali halisi Elimu ya msingi kwa msingi wake na mane yake yaani basic or foundational education na ukitazama hali...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Baba kama unakumbuka ulinielekeza kufungua website kwa domain.co.cc na kuimask! duh nimekukubali! nipo hewani sasa! ila nimeamua iwe ya kikoffical tu iswe wikliks wataniua! Thnaks sana kikwetu...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Najaribu kufikiria jinsi bei ya bidhaa zinavyopanda kwa kasi ikilinganishwa na kipato halisi cha Mtanzania. Wakati wa siku za mwisho wa juma nilizunguka kwenye maduka ya mtaani kupata mahitaji ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Napenda kujua ni Taasisi gani inakopesha kwa riba nafuu na wenye masharti yasio kuwa magumu cause izi bank zetu zina ukiritimba wa hali ya juu ingawa inawezekana baadhi ambazo sizifahamu zikawa ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Inawezekana ikawa ni ukweli ya kuwa kuna wakati kuna matatizo ya kimtandao na hivyo kufanya mabenki yetu kutotoa huduma kwa wateja. Hata hivyo kwa utafiti wangu mdogo kwa baadhi ya mabenki kuna...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wana JF kuna hizi tetesi mwenye data kamili atuthibitishie
0 Reactions
78 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…