Natafuta wauza mbao kutoka msumbiji

Edylux

Member
Mar 30, 2009
48
9
Salaams wana JF,

Tafadhalini sana, naomba ambaye ana contract za wauza mbao wa Msumbiji,
au wa TZ wanao import mbao kutoka Msumbiji, anipatie.

Nahitaji Mahogany, Afrormosia, Mninga, Panga panga na Teak (mtiki) :

Size; (1" - 4") x (10" - 12") x (8' - 10').
unene; upana; urefu.

Kwa kuanzia nahitaji cubic meter 20 za kila aina.

Naomba bei hadi kiwandani Dar kwa cbm au kwa ubao, na utaratibu wa malipo.

Ahsanteni,
Edylux
 
mkuu ...nakushauri uende pale keko kisanii uliza kama vile unataka mbao nyingi sana ...utapata mtu ambaye yeye anakwenda msumbiji kuchukua mbao .. wapo wengi pale keko
 
Salaams wana JF,

Tafadhalini sana, naomba ambaye ana contract za wauza mbao wa Msumbiji, au wa TZ wanao import mbao kutoka Msumbiji, anipatie.

Jitihada zangu za kuwapata kupitia webiste zao zimekwama.

Ahsanteni,
Edylux

mi huwa nafanya biashara hiyo,nipo Chikongo,tandahimba.eleza unataka mbao za mti gani na size ipi.
 
mi huwa nafanya biashara hiyo,nipo Chikongo,tandahimba.eleza unataka mbao za mti gani na size ipi.

Quadrat.
Ungeweka hapa majina ya ile unayoweza kupata.

Edylux: Website ipi ndugu yangu. Namimi natafuta hardwood za Central Africa.
 
Ahsante kwa kunijibu.

Nahitaji Mahogany, Afrormosia, Mninga na Panga panga :

Size; 1" x (10" - 12") x (8' - 10').

Kwa kuanzia nahitaji cubic meter 20 za kila aina. Naomba bei hadi kiwandani Dar kwa cbm, na utaratibu wa malipo.

Hakuna ubaya hata ukitoa bei kwa ubao ukionyesha na saizi yake.

Shukrani
Edylux
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom