US $ vs TSh. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

US $ vs TSh.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Danniair, Feb 25, 2011.

 1. D

  Danniair JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 361
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani tusaidieni sisi wapangaji wa NHC ndani ya jengo la Golden Plaza -Posta. HUyu Joint venture wa NHC amesainisha wapangaji mkataba wa kulipia huduma za umeme wa TANESCO, maji ya kisima (yanachumvi kibao), na walinzi wasio na redio ktk US $. Tusaidieni tuende wapi ili tumtie hatiani kwani sisi na yeye tu watanzania, matumizi ya $ ametumia sheria ipi je, si ufisadi huu?
   
Loading...